mwanaone
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 637
- 760
- Thread starter
- #21
Mkuu mimi umeniacha kidogo na hiyo heading yako ...........mpaka Lowasa kusafishwa.Naomba unifungue macho kidogo,kwani baada ya kukutana kwao amesafishwa?Na kasafishwaje?
LOWASSA: AKAULIZA:-"yule bwana (lowassa) alimuuliza kikwete, mnataka kunipa barua kwa kosa lipi? Nimefanya nini? Nini ambacho wewe hukifahamu.
RAISI KIKWETE; AKJIBU:hakuna lolote litakalotokea, hukufanya lolote baya, ulichofanya ni jambo ambalo tulikubaliana ktk chama sote kwa pamoja kuwa tuchukue fedha BOT, tuanzishe mradi ambao utasaidia chama na hususan wewe ktk uchaguzi ambao nakuhakikishia utashinda kwa asilimia utakzotaka wewe 2015. ila jambo kuna jambo moja nataka nikwambie ni kuwa si tu waliokuonea donge kwa sababu ya uwaziri mkuu bali ni urais. sasa hawa viherehere wote nakuachia mwenyewe uwakomeshe 2015 baada ya kushinda urais.
LOWASSA;: asante mkuu mimi nakuhakikishia mambo yetu yataenda kama mwanzo tulivyopanga, na 2015 nakuhakikishia nikitangazwa tu kuwa RAIS, MWANAO RIDHWANI nitamchagua waziri wa ulinzi kama wewe ulivyomlipa hisani MZEE RUKSA. vip lkn shemeji mama salma mzima?
RAIS KIKWETE: mama salma mzima, na hilo la kumchagua ridhwani mimi naona bora umchague kuwa waziri wa sheria na katiba, si unajua tangu amalize kusoma hajatulia kufanya kazi inayohusiana na taaluma yake, nimempa jukumu la kunisimamia miradi yangu. sometym amekuwa akinikera anataka nimchague kabisa sasa hivi japo UNAIBU WAZIRI nimemwambia subiri kwanza tusiwape lakusema. sasa wacha mimi nikapumzike wewe usiwe na wasiwasi huyu nape ni msema ovyo na nimemchagu kuwazuga wananchi. haa haa haaaa
LOWASSA ; HAAA HAAA jk usinichekeshe wacha mimi niende unajua leo umenifurahisha sana maanake tangu ule mkutano mkuu wa chama uishe nilikuwa siana raha kwa kweli basi kwaheri best endelea na jukumu la kujenga nchi.