Unataka kujua yaliyotokea mpaka lowassa kusafishwa soma hapa.

Mkuu mimi umeniacha kidogo na hiyo heading yako ...........mpaka Lowasa kusafishwa.Naomba unifungue macho kidogo,kwani baada ya kukutana kwao amesafishwa?Na kasafishwaje?

LOWASSA: AKAULIZA:-"yule bwana (lowassa) alimuuliza kikwete, mnataka kunipa barua kwa kosa lipi? Nimefanya nini? Nini ambacho wewe hukifahamu.
RAISI KIKWETE; AKJIBU:hakuna lolote litakalotokea, hukufanya lolote baya, ulichofanya ni jambo ambalo tulikubaliana ktk chama sote kwa pamoja kuwa tuchukue fedha BOT, tuanzishe mradi ambao utasaidia chama na hususan wewe ktk uchaguzi ambao nakuhakikishia utashinda kwa asilimia utakzotaka wewe 2015. ila jambo kuna jambo moja nataka nikwambie ni kuwa si tu waliokuonea donge kwa sababu ya uwaziri mkuu bali ni urais. sasa hawa viherehere wote nakuachia mwenyewe uwakomeshe 2015 baada ya kushinda urais.

LOWASSA;: asante mkuu mimi nakuhakikishia mambo yetu yataenda kama mwanzo tulivyopanga, na 2015 nakuhakikishia nikitangazwa tu kuwa RAIS, MWANAO RIDHWANI nitamchagua waziri wa ulinzi kama wewe ulivyomlipa hisani MZEE RUKSA. vip lkn shemeji mama salma mzima?

RAIS KIKWETE: mama salma mzima, na hilo la kumchagua ridhwani mimi naona bora umchague kuwa waziri wa sheria na katiba, si unajua tangu amalize kusoma hajatulia kufanya kazi inayohusiana na taaluma yake, nimempa jukumu la kunisimamia miradi yangu. sometym amekuwa akinikera anataka nimchague kabisa sasa hivi japo UNAIBU WAZIRI nimemwambia subiri kwanza tusiwape lakusema. sasa wacha mimi nikapumzike wewe usiwe na wasiwasi huyu nape ni msema ovyo na nimemchagu kuwazuga wananchi. haa haa haaaa

LOWASSA ; HAAA HAAA jk usinichekeshe wacha mimi niende unajua leo umenifurahisha sana maanake tangu ule mkutano mkuu wa chama uishe nilikuwa siana raha kwa kweli basi kwaheri best endelea na jukumu la kujenga nchi.
 
Ndugu Lukansola: Kikwete hana jeuri ya kuwashughulikia MAFISADI kwani Lowassa amesema akiwashughulikia tu na yeye anaweka kila kitu hadharani.

Na siku EL akiweka hadhani mambo yaliyoko BEHIND THE SCENE nadhani JK atajiuzulu urais siku hiyohiyo. Na nchi itakaa bila rais kwa muda. Lowassa anajua madudu yoye waliyoyafanya na JK kuanzia mwaka 2004 ili aingie Ikulu; ukianzia na EPA, Meremeta, Kagoda, Richmond, Dowans, IPTL, TRC, n.k. Listi ni ndefu unaweza kuongezea.
 
Amakweli jamaa ana kazi kweli kweli, sijui kina GBRAIN wakisoma habari hii wanajisikiaje maana kwakweli siasa inataka umesemwa uongo tokeza hadharani kanusha vinginevyo jamii ndivyo itakavyoelewa, tena sio kukanusha tu bali pia na kufafanua kwa kina. Kazi kwenu magamba's
 
Hawa mafisadi ndio wanaelekea kukiua hiki chama, maana wakitoswa ni kifo, pia wakisafishwa ni kifo..........yaani hawana pa kutokea, kifo hakikwepeki.

There is no fiasdi atapona na kila atakaye jihusisha nao lazima wafe pamoja, CCM ikiamua kuwakumbatia lazima waelekee wote bahari ya Shamu. Nape na group lake wakiamua kusimama wakahesabiwa watapata ticket ya kuingia kwenye safina ya ukombozi wakiamua nao kuukataa unabii see you then baada ya mwana wa Adamu kurudi mara ya pili. Hakuna mwenye kuipangua hii vita hakuna hata mmoja mwanzilishi wake alisha set fire in every exit door tena moto wa petrol unaounguza hata ukivuta tu hewa!
 
Ndugu Lukansola: Kikwete hana jeuri ya kuwashughulikia MAFISADI kwani Lowassa amesema akiwashughulikia tu na yeye anaweka kila kitu hadharani.

Na siku EL akiweka hadhani mambo yaliyoko BEHIND THE SCENE nadhani JK atajiuzulu urais siku hiyohiyo. Na nchi itakaa bila rais kwa muda. Lowassa anajua madudu yoye waliyoyafanya na JK kuanzia mwaka 2004 ili aingie Ikulu; ukianzia na EPA, Meremeta, Kagoda, Richmond, Dowans, IPTL, TRC, n.k. Listi ni ndefu unaweza kuongezea.

Basi baambie ndege yao imeshaanza kuzima engine moja hakuna kati yao atakaye pona kwenye hili. Mimi ni mjumbe tu nawapa nyepesi nyepesi niliwaambia mapema kila mmoja akajisemea rohoni mwake who is this stupid poor unknown personality; hatujui sisi nini; anajua account zetu zina ngapi ama? Ok they forgot that they is a difference between commoners and the royals! The prince is sent by the King kuwa hakuna atakaye pona kwenye nyumba ya mafisadi kila mzaliwa wakwanza lazima afe to let my people go kwani nimewapa ishara nyingi na miujiza bado wamekaza shingo zao kuwa ngumu. "Mwambie Paraho nimeondoka sinta rudi tena Misri naenda Kaanani"
 
Hivi Lowassa ni nani mpaka Jakaya amgwaye kiasi hicho?

Lao moja,ndiyo maana kamhakikishia hakuna litakalomtokea,hata kwny kikao cha NEC JK hakuweza kutaja jina hata la moja wa mapacha watatu,alisubiria mpaka wajumbe wengine walipowataja,halafu akasema basi tuendelee,majina yalishapatikana!
Kikao cha EL na JK kilifuatiwa na Mukama kukanusha ishu ya kuondolewa kwenye chama kina RACHEL ndani ya siku 90
 
Siri ya kata aijuaye mtungi...Lowasa anamjua JK A-Z hivyo anadhihirisha jinsi huyo JK na wenzake wa magamba walivyo wanafiki linapokuja suala la uadilifu
 
Mimi nilishajua toka mwanzo kama uyo kijana anafanya maigizo tuu. Sasa kumtoa kidumecha mbegu kwenye chama wameshindwa, akunajipya sasa tunapeta tuu!! tumejua CCM ni chama cha wachache!!! Chadema piga bao.
 
''Nimeonewa sana nimefedheheshwa sana nimedhalilishwa sana katika chama hiki........there is wish i am going to grant"
 
Ina maana Lowassa hajui makosa yake?

Ndugu yangu unahangaika bure na hawa wakanganyaji ambao wamekodiwa kuleta mkanganyiko kama namna ya kuwanusuru mafisadi. Wanaoendelea kupotosha juu kilichotokea kwenye mkutano wa Rais na fisadi huyu ni hao hao mafisadi wenyewe tena kwa faida yao maana ni wazi kabisa kwamba bwana mkubwa alimweleza wazi dhambi zake na kaambiwa kwamba process hii ni irrevesible na kwamba wanachoongea Chiligati na Nape ni maamuzi ya vikao na kwa hakika huyu bwana na wafuasi wake wanotoa scare politcs juu ya kufa kwa CCM wakiondoka wanajisumbua maana fate yao ni sealed na yaliyo baki ni wao kuondoka na kuunda chama if they have balls to do so. There is no turning back and I am happy to say that CCM is safer without Lowassa and his coterie tha with them on board. Rais told him how he has been trying to rock the boat from within and that the consequences were dire. Obviously asingekwenda kuwaambia wafuasi wake kwamba amekemewa na Rais maana tayari yeye amewajengea matumaini ya uongo kwamba yeye ana nguvu na indespensable. Hizo ni false hopes na sasa siku zake ni finyu sana.
 
LOWASSA: AKAULIZA:-"yule bwana (lowassa) alimuuliza kikwete, mnataka kunipa barua kwa kosa lipi? Nimefanya nini? Nini ambacho wewe hukifahamu.
RAISI KIKWETE; AKJIBU:hakuna lolote litakalotokea, hukufanya lolote baya, ulichofanya ni jambo ambalo tulikubaliana ktk chama sote kwa pamoja kuwa tuchukue fedha BOT, tuanzishe mradi ambao utasaidia chama na hususan wewe ktk uchaguzi ambao nakuhakikishia utashinda kwa asilimia utakzotaka wewe 2015. ila jambo kuna jambo moja nataka nikwambie ni kuwa si tu waliokuonea donge kwa sababu ya uwaziri mkuu bali ni urais. sasa hawa viherehere wote nakuachia mwenyewe uwakomeshe 2015 baada ya kushinda urais.

LOWASSA;: asante mkuu mimi nakuhakikishia mambo yetu yataenda kama mwanzo tulivyopanga, na 2015 nakuhakikishia nikitangazwa tu kuwa RAIS, MWANAO RIDHWANI nitamchagua waziri wa ulinzi kama wewe ulivyomlipa hisani MZEE RUKSA. vip lkn shemeji mama salma mzima?

RAIS KIKWETE: mama salma mzima, na hilo la kumchagua ridhwani mimi naona bora umchague kuwa waziri wa sheria na katiba, si unajua tangu amalize kusoma hajatulia kufanya kazi inayohusiana na taaluma yake, nimempa jukumu la kunisimamia miradi yangu. sometym amekuwa akinikera anataka nimchague kabisa sasa hivi japo UNAIBU WAZIRI nimemwambia subiri kwanza tusiwape lakusema. sasa wacha mimi nikapumzike wewe usiwe na wasiwasi huyu nape ni msema ovyo na nimemchagu kuwazuga wananchi. haa haa haaaa

LOWASSA ; HAAA HAAA jk usinichekeshe wacha mimi niende unajua leo umenifurahisha sana maanake tangu ule mkutano mkuu wa chama uishe nilikuwa siana raha kwa kweli basi kwaheri best endelea na jukumu la kujenga nchi.

JF Ina raha zake sometym!!!
 
Mukama alipokanusha kwamba hakuna aliyetamka kamba mafisadi wamepewa siku 90 kujiengua, wenye hekima walijua kuna jambo!
 
Akili za wengine changanya na za kwako,Jk kampoteza Nape kwa kuumjaza ujinga kuwa ukisema neno tu na mimi nipo nyuma yako ss Nape kajisahau kuchanganya na akili zake.Na hili kitawaumbua kuwafanyia wananchi mazingaumwe yao ya kujivua gamba na ss nimeamini ya wahenga kuwa "njia ya muongo ni fupi"siku 90 hazijaisha tayari wameaibika!!!

This is a pipe dream. Nape na Rais are reading from the same script na sasa kama mnadhani bwana mkubwa atamtosa Nape basi mtasubiri sana kama yule fisi na mkono wa binadamau. Hakuna kurudi nyuma. Waanzishe chama ambacho hakina maadili kuliko kung'ang'ania kitu kisichowafaa.
 
Hivi Lowassa ni nani mpaka Jakaya amgwaye kiasi hicho?
Unajua kitu kinaitwa blackmail? Ndicho kinachomfanya JK awe na wasi wasi. Lowassa anajua siri za madudu yote na jinsi JK anavyohusika, sasa anajua kuwa akiamua kutoka hadharani, itakuwa ni hadithi ya wamemwaga mbogam, mi namwaga ugali. hakuan aliye msafi kati yao ndo maana Lowassa analalamika kuwa mbona anachafuliwa yeye tu? naona amechoka kuwa bangusilo
 
Mbopo, duh! They (Riz1 & family) must be paying you dearly to retain you behind a pc screen or a laptop.
CCM's boat went tipsy turvy six years ago when squanderers received the helms.
Now, your CCM isn't safe anymore with 'triangle triplets' in the midst.y
 
Ndugu yangu unahangaika bure na hawa wakanganyaji ambao wamekodiwa kuleta mkanganyiko kama namna ya kuwanusuru mafisadi. Wanaoendelea kupotosha juu kilichotokea kwenye mkutano wa Rais na fisadi huyu ni hao hao mafisadi wenyewe tena kwa faida yao maana ni wazi kabisa kwamba bwana mkubwa alimweleza wazi dhambi zake na kaambiwa kwamba process hii ni irrevesible na kwamba wanachoongea Chiligati na Nape ni maamuzi ya vikao na kwa hakika huyu bwana na wafuasi wake wanotoa scare politcs juu ya kufa kwa CCM wakiondoka wanajisumbua maana fate yao ni sealed na yaliyo baki ni wao kuondoka na kuunda chama if they have balls to do so. There is no turning back and I am happy to say that CCM is safer without Lowassa and his coterie tha with them on board. Rais told him how he has been trying to rock the boat from within and that the consequences were dire. Obviously asingekwenda kuwaambia wafuasi wake kwamba amekemewa na Rais maana tayari yeye amewajengea matumaini ya uongo kwamba yeye ana nguvu na indespensable. Hizo ni false hopes na sasa siku zake ni finyu sana.

Hapo mkuu tuko pamoja kama chanda na pete ama lila na fila teh!
 
Back
Top Bottom