Unataka kujua yaliyotokea mpaka lowassa kusafishwa soma hapa.

<font face="Arial Black">This is a pipe dream. Nape na Rais are reading from the same script na sasa kama mnadhani bwana mkubwa atamtosa Nape basi mtasubiri sana kama yule fisi na mkono wa binadamau. Hakuna kurudi nyuma. Waanzishe chama ambacho hakina maadili kuliko kung'ang'ania kitu kisichowafaa.</font>
<br />
<br />
Tehe tehe, hii tamu sana, kwa nini hawakupewa barua mara moja baada ya kikao ambacho na wao wenyewe walishiriki.
Mmeendelea kuwapa muda ambao wanajiweka sawa na kuipa taarifa ambazo wasingeliweza kufanya hivyo kama mngeliwapiga rungu ya kisogoni mara moja.
Huku mtaani tunawasoma kwa matamko yenu yasiyo na sura inayoeleweka, yaani hatupati picha rasmi - ukicheka na nyani shuruti uvune mabua.
Huko ndiko mwenyekiti anakokipeleka chama kwa ari zaidi, nguvu zaidi na kasi zaidi.
 
Ahaaa kama CCM ni jembe basi Lowasa na Rostam ndio Mpini!

Ukikata mpini sijui itatokea nini? nilikuwa nasubiri majibu baada ya kukata mpini. Waziri Mkuu alikwisha kufanya analysis siku nyingi na kuweka wazi bila kuficha kuwa hawashikiki wamekama serikali yote na Rais Rais ni wao! ila uzembe wa Kikwete kuibuka na methali za ajabu!hayupo serious huyu Mzee wa Bagamoyo kama shida ni kubampana na Ufisadi methali na kelele za kisiasa za nini wakati dola ipo! Kwani alipo wakamata Mahalu na Mzee wa Rombo ni CC na NEC-CCM ndio walikutana na kuzunguka nchni nzima kupiga kelele? Nadhani hata Katibu kiongozi pia hamsaidii Rais anakula raha tu na kupandikiza ndugu zake katika vyeo. Kosa walililofanya hapa ni kupindisha mambo itaitesa sana CCM mpaka kaburini.

Haki ipo wapi katika nchni hii mbona wahalifu wengine hawapati nafasi ya kumwona rais na kumuhoji kwanini wanakamatwa au wanataka kufikishwa mahakamani! Kikwete hapa Umechemsha, hauna ujasiri wa kuwa Rais wala hata Mkuu wa Wilaya hukufaa kupewa kabisa hivi kama mtu ni mharifu anapata wapi access ya kumuhoji rais hayo maswali yaliyoainishwa hapo juu labda kama ni uongo bado Kikwete anavuta pumzi.
 
Ndugu yangu unahangaika bure na hawa wakanganyaji ambao wamekodiwa kuleta mkanganyiko kama namna ya kuwanusuru mafisadi. Wanaoendelea kupotosha juu kilichotokea kwenye mkutano wa Rais na fisadi huyu ni hao hao mafisadi wenyewe tena kwa faida yao maana ni wazi kabisa kwamba bwana mkubwa alimweleza wazi dhambi zake na kaambiwa kwamba process hii ni irrevesible na kwamba wanachoongea Chiligati na Nape ni maamuzi ya vikao na kwa hakika huyu bwana na wafuasi wake wanotoa scare politcs juu ya kufa kwa CCM wakiondoka wanajisumbua maana fate yao ni sealed na yaliyo baki ni wao kuondoka na kuunda chama if they have balls to do so. There is no turning back and I am happy to say that CCM is safer without Lowassa and his coterie tha with them on board. Rais told him how he has been trying to rock the boat from within and that the consequences were dire. Obviously asingekwenda kuwaambia wafuasi wake kwamba amekemewa na Rais maana tayari yeye amewajengea matumaini ya uongo kwamba yeye ana nguvu na indespensable. Hizo ni false hopes na sasa siku zake ni finyu sana.

JK hana huo ujasiri wa kumkoromea Lowassa. Sababu ambazo zinanifanya niamini hayo ni pamoja na hizi zifuatazo:

1. JK wakati anamteua Lowassa kuwa PM, watu walisema sana kwamba jamaa si msafi, lakini JK bado alisimama Bungeni na kumtetea kwamba alimteua Lowassa kwa kuwa ni mchapa kazi na wala si kwa misingi ya urafiki wao.

2. Lowassa alipotemeshwa u-PM, JK bado aliwaambia wazee wa Dar kwamba kilichotokea kwa Lowassa ni ajali ya kisiasa tu. Hili pekee lina ashiria mambo mengi.

3. Baada ya vikao vya CC na NEC, Chiligati, Nape na Msekwa wote walikuwa wanaongelea swala la mafisadi kutoswa. Leo hii ukiwauliza ni nani ambaye anatakiwa kuwaandikia barua hao mafisadi kwamba ndio wanakipaka matope chama, kila mtu anagwaya. Mukama ambaye ni mtendaji mkuu wa chama amekana kwamba hakuna siku 90. Msekwa ambaye alisema watoswe anaogopa kusaini barua. Halafu Mukama anasema mafisadi watafakari, wajipime then wajitoe kwenye chama. Hivi ni mjinga gani anaweza kujitoa kwenye chama bila kuandikiwa barua ya kutuhumiwa? Yaani wanategemea Lowassa, Chenge na Rostam wafikie hayo maamuzi kirahisi? Kutokana na mkanganyiko huu wa nani aandike barua na barua iseme nini, hii sinema itaishia hapo ilipofika na ndio maana humsikii tena Nape na Operation yake ya Vua Magamba. Ninatamani akutane na waandishi wa habari wamuulize iwapo mafisadi wameishapewa barua na kwanini Mukama anasoma script tofauti na Nape?
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Hakika Nape hajui au amesahau ile third law of motion ya Newton isemayo

'A body will continue on its state of rest or uniform motion untill it
is acted otherwise by EXTERNAL FORCE .'

Huwezi kusukuma gari ukiwa umelipanda NEVER, hata mngekuwa elfu hiace haisogei.
 
Ha ha ha yale yale ya Mtikila kumtukana RA mwisho wa siku ikajabumburuka alienda kopa na vocha kasainishwa, toka siku hiyo RA amuumbue sijamsikia akimponda RA. Changanya na zako.................................................
 
Kikwete ni muoga tu,lakini angekuwa na dhamira hasa ilikuwa anawatosa tu na wasingemfanya lolote na wala CCM isingeyumba kama wanavyotaka tuamini
 
Back
Top Bottom