Unapopigiwa simu na mpenzi wa mtu unayemfukuzia

tindikalikali

JF-Expert Member
Jan 14, 2011
4,855
1,117
1. Ni kutojiamini kwa wanaume au ni uzuzu na kushikiwa akili? 2. Ni kujihami kwa akina dada? 3. Hivi huwezi kumkataa mtu mpaka ugawe namba yake 4. Unajisikiaje kupigiwa simu na kukatazwa kupenda na mwanaume mwenzako? Nawasilisha!
 
Mkubwa kuna kuna mabinti hawajui kukataa, hivyo anaweza kukupa namba pasipo kukwambia kuwa ana mtu. Pili kuna watu wanafanya ukuwadi, anatumia mbinu hadi anapata namba ya mwanamke na kuiuza, matokeo mpenzi wake anaikuta hiyo namba na kupiga. Mwanaume kama anajiamini kwa mpenzi wake inabidi amuweke chini na kukemea hiyo hali sio kumpigia mwanaume mwenzake na kuporomosha matusi. (Ni tabia mbaya omba isikukute)
 
Hiyo kitu siyo nzuri kwa afya.
 
Nliwah kufanya huo ujinga zamani sana, sasa wala sihangaiki huwezi ukamlinda binadamu ,hayumkini uliyenaye ulimpata akiwa mpenzi so ulimpigia simu ! Haya mambo ni usanii tu, kuna demu anampenzi wake ila tunafanya issue za kiuhusiano as if ni mpenzi wangu!
 
in short ni wivu,hii ni ctor ya kweli iliyotokea last year wen a gal alipokuwa anachat na fellows of ha bf ambapo da bf aliwapgia wote akawatel wakome!tena kdg bfu lianze....mapnz mengine ni too much bwana
 
Msiombe jama kuna wanaume wanashetani na wake za watu,atatafuta kila jinsi 4 no yake na usumbufu kuanzia hapo
 
Ni kushindwa kujiamini, ona hii jamaa kakuta namba ya m2 kwa sm ya mpz wake. Kaamua kupiga sm kwa kutumia namba ya mpz wake, kakutana na SWEETY HUJAMBO, MBONA LEO UNA SAUTI YA KIUME.
 
Msiombe jama kuna wanaume wanashetani na wake za watu,atatafuta kila jinsi 4 no yake na usumbufu kuanzia hapo
Sio wanaume tu. Kuna wanawake ukiona kazoena na mpz wako kemea kabisa, ni makuwadi. Kama mpz wako hayuko stable analiwa.
 
Hapa ndo pananipa shida ya kufunga ndoa,lah,unakua na mwenzio mara wadau wanakulaaaaa,aaaagggh
Wanakula hadi unajua, halafu wasuruhishi wanakwambia samehe saba mara sabini kwani wewe si wa kwanza wala wa mwisho. Inakuingia kweli hiyo mdg.
 
Akikupigia ongea naye vizuri kwa sababu wewe ndo unakuwa upande wa ukosaji. Ila akiendelea kukusumbua mtafute ili suruhu ipatikane. Haya ni mambo madogo tu - kwani huwa inaisha?
 
Ni kushindwa kujiamini, ona hii jamaa kakuta namba ya m2 kwa sm ya mpz wake. Kaamua kupiga sm kwa kutumia namba ya mpz wake, kakutana na SWEETY HUJAMBO, MBONA LEO UNA SAUTI YA KIUME.

Unakuta namba ya mtu hata katika simu ya mumeo au mkeo hata huulizi! kisa unajiamini! Mumeo/Mkeo lazima umpiganie pale ambapo mtu anataka kuchezea himaya yako ikiwemo hata kumtukana huyu mwanaume/mwanamke mwingine na pia kumkoromea mkeo/mumeo. Hizi imani za kusema ooh! mie najiamini kumbe wenzako wanakula mali zako! ni upumbavu. Unadeal na wote wawili mpaka kieleweke ukiona yamekuelemea basi unabwaga manyanga.
 
Back
Top Bottom