Unaponunua kesi na simu yako...

Pole Hus. . .hiyo haina app inayoweza kusaidia, ila option inaweza ikawepo kwenye simu. Jaribu kwenda kwenye CALL SETTING uangalie kama kuna sehemu imeandikwa CALL RESRTICTION/AUTO REJECT/REJECT. . . kama ipo bonyeza alafu ufuate maelezo.

ahsante mdada.
 
natabiaa mojaaa nikikaa na number ya m2 wiki hata haijawai kubeep na delete,sisave numberr za m2 ambae sina intrest nae,ukipigaa nikikuuliza we naniii?lazimaa uzingukeee uone jamaa hayupo namiii.sipendi kerooo unakutaa jitu zimaa tena mwanaume mwezako ana kubeep mara karibia sabaa,unapigaaa vipi...anakwambia dah!!nilikuwa na kusalimia....nachukiaa sanaaa hiyo tabiaaaa
 
Mi nilimpata mdada mmoja akipiga ikalia mara tatu hujapokea tayari ugomvi,halafu anapiga kutwa mara tano yaani usifanye kazi usiende chooni na kweli akaniacha eti simpendi vya kutosha moyoni nikasema hata atakayempata hawatadumu kwa tabia hiyo.
 
Uporoto01!!!! Nimekumisije????
Good to have you back!
 
Umewahi kukutana na mtu mkabadilishana namba za simu
ukajuuta?

asubuhi anapiga,mchana anapiga,jioni anapiga usiku anapiga...

usipokea anakuuliza why hukupokea as if ni lazima upokee

sms tele,ku beep ndo usiseme.......

imewahi kukutokea hiyo?

na akipiga hakuna la maana mnaloongea.......

anaweza kywa ni rafiki wa zamani,au mtu tu umekutana nae kiofisi au ki social hivi...
but full kero na simu.....

eeeh pole ila atakuwa hana kazi ya kufanya huyo
 
Kwanza kum-beep mtu ni ubinafsi tu mara nyingi, unahisi kama yeye ana hela za kukupigia wewe zaidi?
Sasa bora simu, u just block. Unakuta mtu hata hayuko interesting, hamna cha kuonge ila akikuona tu online anataka kuchat na wewe! Kwanza hajui kuchat, yaani kila neno ulitolee insha ya maelezo, mara unachelewa kunijibu!
I love the people on my friend's list ambao unless tuna issue za kuongea, they see u online and its not a big deal.
The Boss, umewahi kuwa na mtu ndugu ama rafiki, anaekubip mara 7 na ukiamua kumpigia anasema mbona hupokei simu yangu? Mi nampa za uso, simu ama beeps? Uzuri wangu I'm not bothered, umenikumbusha ni_unblock mtu,lol!

Hivi unabulokuje jamani, nfundisage na mie dear
 
mie huwa najibu kabisa
sio kazi yangu kukupigia

afu naendelea na nilichotaka kusema

Nitty, ni bora wanawake tumewazoea watu wa kujiliza.
Sasa mwanamme mzima naye anataka kupigiwa??
Kesho ataomba kulipiwa vocha lol

katili wewe
 
Unapoendelea kupokea inamaana unapenda. Mchunie siku mbili uone kama atakupgia tena.
 
Mi nilimpata mdada mmoja akipiga ikalia mara tatu hujapokea tayari ugomvi,halafu anapiga kutwa mara tano yaani usifanye kazi usiende chooni na kweli akaniacha eti simpendi vya kutosha moyoni nikasema hata atakayempata hawatadumu kwa tabia hiyo.

tapeli wewe ndio maana
 
eeh tena inakera sana, kila siku akipiga simu swali uko wap na unafanya nini huwa ananichosha
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom