Unaponunua kesi na simu yako...

duh, uzuri sitoi namba yangu ya simu unless ni lazima sana.

Kama nakutana kikazi, natoa namba ya ofisi, tukikutana kijamii, nasema tutakutana tena hatuhitaji kubadilishana namba

aki-insist full kugawa namba za mabehewa au kastama kea.
 
kingine kinaniudhi
ni kumpigia mtu afu anasema

'mbona hujanipigia siku nyingi
umenitupa sana'

afu samtims hata mwanamme anasema hivyo
huwa sirudii kupiga asilani
 
Haya bana... Ila The Boss... Mara nyingi hiyo ni kwa jinsia tofauti... Mwanaume kwa mwanaume,si rahisi....ama mwanamke kwa mwanamke...,it's rare...
 
it does not make sense to me
kama ukim-miss mtu
mtafute na wewe
sio usubiri akupigie uanze
oooh, ulinisusa
mbona hukunipigia

as if ni obligation ya mmoja kumpigia mwingine?

Inanikera mbaya.

Mbona hiyo haiumi kihivyo Kongosho?
 
it does not make sense to me
kama ukim-miss mtu
mtafute na wewe
sio usubiri akupigie uanze
oooh, ulinisusa
mbona hukunipigia

as if ni obligation ya mmoja kumpigia mwingine?

Inanikera mbaya.

Yeah...okay..
Hapo nimekusoma.. Ila,mtu kama huyo unamchana live,ingawa kwa upole... Ili meseji ifike..
 
kingine kinaniudhi
ni kumpigia mtu afu anasema

'mbona hujanipigia siku nyingi
umenitupa sana'

afu samtims hata mwanamme anasema hivyo
huwa sirudii kupiga asilani

Sio wanaume peke yao hata wanawake. Cha msingi unamwambia neno moja tu ''mambo mengi'' full stop
 
mie huwa najibu kabisa
sio kazi yangu kukupigia

afu naendelea na nilichotaka kusema

Nitty, ni bora wanawake tumewazoea watu wa kujiliza.
Sasa mwanamme mzima naye anataka kupigiwa??
Kesho ataomba kulipiwa vocha lol

Sio wanaume peke yao hata wanawake. Cha msingi unamwambia neno moja tu ''mambo mengi'' full stop
 
Yeah nakusapoti,Kongosho...

Au mtu asiyetuma meseji,anabeep muda wote.. Pengine namba ilishapotea na simu siku nyingi... Ye anabeep tu!
 
asubuhi anapiga,mchana anapiga,jioni anapiga usiku anapiga...

usipokea anakuuliza why hukupokea
Dah yan mimi hata hapa nilipo nina msala huo hadi nilioamua kuhama line kwa muda coz imekuwa kero sana na kumwambia nashindwa.
 
Kwanza kum-beep mtu ni ubinafsi tu mara nyingi, unahisi kama yeye ana hela za kukupigia wewe zaidi?
Sasa bora simu, u just block. Unakuta mtu hata hayuko interesting, hamna cha kuonge ila akikuona tu online anataka kuchat na wewe! Kwanza hajui kuchat, yaani kila neno ulitolee insha ya maelezo, mara unachelewa kunijibu!
I love the people on my friend's list ambao unless tuna issue za kuongea, they see u online and its not a big deal.
The Boss, umewahi kuwa na mtu ndugu ama rafiki, anaekubip mara 7 na ukiamua kumpigia anasema mbona hupokei simu yangu? Mi nampa za uso, simu ama beeps? Uzuri wangu I'm not bothered, umenikumbusha ni_unblock mtu,lol!
 
Mkwe, hiyo calculator yenye radio haina huduma hii,lol
Vile umefaulu mtihani kama Mwanasha JK, ntakununulia nokia yenye radio basi eeh

hehehehe! Hii nimenunulia na baba kwa kufaulu. Wewe inabidi uninunulie modem maana ofa ya laptop nishapewa na chatu dume. Lol.
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom