Unaponunua kesi na simu yako...

The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
49,110
115,874
Umewahi kukutana na mtu mkabadilishana namba za simu
ukajuuta?

asubuhi anapiga,mchana anapiga,jioni anapiga usiku anapiga...

usipokea anakuuliza why hukupokea as if ni lazima upokee

sms tele,ku beep ndo usiseme.......

imewahi kukutokea hiyo?

na akipiga hakuna la maana mnaloongea.......

anaweza kywa ni rafiki wa zamani,au mtu tu umekutana nae kiofisi au ki social hivi...
but full kero na simu.....
 
nisipombock huyo mtu.....

Atue sitapokea simu yake na sitojibu msg zake (kwenye hili nina kipaji.)
 
Siku hizi ndio maswali tunayoulizwa kwenye simu. Mtu anakuuliza mbona kimya? Kwa kifupi ni kero mtu anakublame eti hujapokea simu yake yeye anaona kama umedharau lakini hapana. Halafu huu mtindo upo kwa akina dada sana
 
Umewahi kukutana na mtu mkabadilishana namba za simu
ukajuuta?

asubuhi anapiga,mchana anapiga,jioni anapiga usiku anapiga...

usipokea anakuuliza why hukupokea as if ni lazima upokee

sms tele,ku beep ndo usiseme.......

imewahi kukutokea hiyo?

na akipiga hakuna la maana mnaloongea.......

anaweza kywa ni rafiki wa zamani,au mtu tu umekutana nae kiofisi au ki social hivi...
but full kero na simu.....

...ha hahaha...pole kaka....

janja ya hiyo kitu wewe mchunie tu bana...
ujinga gani huo wa mtu mzima kuulizwa ulizwa kwanini hupokei simu,
kwani yeye mke/mume bana? hata mke/mume akiuliza hivyo anatafuta kesi tu!

...as usual, mbu's been there
and survived that torment.
 
Siku hizi ndio maswali tunayoulizwa kwenye simu. Mtu anakuuliza mbona kimya? Kwa kifupi ni kero mtu anakublame eti hujapokea simu yake yeye anaona kama umedharau lakini hapana. Halafu huu mtindo upo kwa akina dada sana

kwanza hii ya culture ya watu kuamini kuwa akipiga simu yako lazima upokee
sijui imetoka wapi.....na halafu anakuuliza eti why hukupokea....dah....
 
...ha hahaha...pole kaka....

janja ya hiyo kitu wewe mchunie tu bana...
ujinga gani huo wa mtu mzima kuulizwa ulizwa kwanini hupokei simu,
kwani yeye mke/mume bana? hata mke/mume akiuliza hivyo anatafuta kesi tu!

...as usual, mbu's been there
and survived that torment.

aisee kuna watu unakutana nae siku moja tu
na mnagombana wa sababu ya simu....
 
kwanza hii ya culture ya watu kuamini kuwa akipiga simu yako lazima upokee
sijui imetoka wapi.....na halafu anakuuliza eti why hukupokea....dah....

Mimi naona labda ni sheria mpya au mtindo mpya kwamba mtu akikupigia simu lazima upokee hata kama uliacha simu ukaingia bafuni kuoga.
 
mimi izo huwa naziangalia tu kama sizioni,nikishapokea mara mbili tatu na hana la maana atajuta
 
nokia x3.

Pole Hus. . .hiyo haina app inayoweza kusaidia, ila option inaweza ikawepo kwenye simu. Jaribu kwenda kwenye CALL SETTING uangalie kama kuna sehemu imeandikwa CALL RESRTICTION/AUTO REJECT/REJECT. . . kama ipo bonyeza alafu ufuate maelezo.
 
Back
Top Bottom