Unapomuoa mwanamke ambaye tayari amezaa, ameolewa,

Rutakyamilwa

JF-Expert Member
Feb 27, 2009
1,872
1,235
Wandugu hivi unapomuoa mwanamke ambaye amezaa/alishaolewa na mwanamume mwingine, huko mbele ya safari hukumbuki alichokuwa anakifanya KITANDANI NA MUME mwenzio na kuona umepotea!!!!
 
Mbona mkiwa na wasichana kama wapenzi hamfikirii alikua anamfanyia nini mwanaume mwenzenu??Au yeye anakua anajilaza tu ndo maana hakutoka na ndoa au mtoto?
 
Wandugu hivi unapomuoa mwanamke ambaye amezaa/alishaolewa na mwanamume mwingine, huko mbele ya safari hukumbuki alichokuwa anakifanya KITANDANI NA MUME mwenzio na kuona umepotea!!!!
na lijianaume lililoacha uko nyuma alikumbuki mkewe?
we umeona mwanamke wa kukumbuka alikotoka?
i kes ya kuacha na kukumbuka nyuma aina mwanamke wala mwanamke inategemea NA MMEACHANA KWA KISA KIP
WENGINE WAKIKUMBUKA NYUMA WNATAMAN KUTAPIKA.....naishia apa naenda kupalilia kwanza nkirud mpango kamili...
 
watu waliowahi kuwacha na kuvamia pori lingine utawajua tu kwa majina yao...lakini mimi sijamtaja mtu hapa ila utawatambua kwa matunda yao...
 
Dahh
Si lazima awe ameolewa au la
hata kama mtu alikuwa na bf tu
hayo mambo yakufikiria partner wako wa sasa alikuwa
Anafanya nini in the past
Kweli nikujiumiza kichwa na mawazo yasiyo na
Mbele wala nyuma..

Usijipe pressure za bure umeamua kumpenda mtu
achana na mambo yaliyopita ..
 
watu waliowahi kuwacha na kuvamia pori lingine utawajua tu kwa majina yao...lakini mimi sijamtaja mtu hapa ila utawatambua kwa matunda yao...

paka kauficha mkia lakin sura kaiacha teh teh....sjamsema mtu apa nakumbuka tu nahau na misemo za enzi zileeeeeeeeee!!
 
paka kauficha mkia lakin sura kaiacha teh teh....sjamsema mtu apa nakumbuka tu nahau na misemo za enzi zileeeeeeeeee!!

Inakuja, wengi wanaona haina tabu mradi umependa, pia nadhani inategemea na mila zinazokuzunguka. kama haziruhusu unakuwa kituko, kama zinaruhusu ruksa.
baba wa taifa aliwahi kusema, KUCHONGA MENO NI MILA YANGU SIWEZI KUIKANA
 
paka kauficha mkia lakin sura kaiacha teh teh....sjamsema mtu apa nakumbuka tu nahau na misemo za enzi zileeeeeeeeee!!
hahaha, naomba nisiseme kitu tafadhali, nanyamaza kimyaa nisijesema vibaya. nahau zako ni nzuri lakini.
 
Apart from obsession with the supernatural, there is a proven obsession with unjustifiable sexual chastity among poverty stricken societies.
 
Kusema ukweli mimi huwa najua kabla ya mimi kulikuwa na mtu kama vile ambavyo mimi nilikuwa na mtu wangu. Kinachotakiwa ni wewe umeamua nini na mmekubaliana nini. Nisichokitaka ni kumjua huyo aliyeekuwa anatumia kabla ya mimi. Nikijua tu na hata uchumba unaisha! Ukweli ni kuwa huwa nakuwaga na KINYAA. Ni kwa mimi sijui wengine!
 
kusema ukweli mimi huwa najua kabla ya mimi kulikuwa na mtu kama vile ambavyo mimi nilikuwa na mtu wangu. Kinachotakiwa ni wewe umeamua nini na mmekubaliana nini. Nisichokitaka ni kumjua huyo aliyeekuwa anatumia kabla ya mimi. Nikijua tu na hata uchumba unaisha! Ukweli ni kuwa huwa nakuwaga na kinyaa. Ni kwa mimi sijui wengine!

kinyaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!ukikumbuka maji ya uzima ya huyo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Sasa kati ya mwanamke ambaye amekuwa na mwanamme mmoja tu maishani mwake, maana mumme wake aliyeachana naye baada ya kuwa na mtoto, na mwanamke ambaye hajaolewa wala kuzaaa lakini kashaenda chini na wanaume 200, yupi ana afadhali ?
 
sasa kati ya mwanamke ambaye amekuwa na mwanamme mmoja tu maishani mwake, maana mumme wake aliyeachana naye baada ya kuwa na mtoto, na mwanamke ambaye hajaolewa wala kuzaaa lakini kashaenda chini na wanaume 200, yupi ana afadhali ?

swali la msingi sana hilo
 
kinyaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!ukikumbuka maji ya uzima ya huyo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Ukikumbuka jamaa mwenyewe mbeba mkaa paleeeeeeeeeeee halafu bahati mbaya kijasho chake unakijua! Na zaidi sifa za mguu ule watatu uasikia wanavyomsifu! daah!
 
WASIWASI!Kwahiyo unakua hujiamini?
Suala sio kujiamini au wasiwasi maana ka ni hivyo angekuwa naye kwao! Mi ndo mshindi ati. Mimi nimesema kwa binafsi yangu huwa nakuwaga na kinyaa sijui wengine! Utakuta mko kwenye taasisi fulani na kila mtu anajua kuwa fulani ni wa fulani lakini naye anataka akajipime naye. Mi binafsi siwezi na sitaki kujua alokutumia!
 
Back
Top Bottom