Kaunga
JF-Expert Member
- Nov 28, 2010
- 12,530
- 13,469
halafu wapi position ya yale madole ya V
Kwenye V of course!
halafu wapi position ya yale madole ya V
wasiopenda kuvaa chupi bora wakae kimya
hudhurungi!
"na maziwa"
maziwa yepi sasa?
Maziwa - Breast?
Maziwa - Ma'lake Victoria, Tanganyika, Chard, Jipe , Michigan au ?
Maziwa - Lactojen?
Hivi zile za Pundamilia zilipoteleaga wapi jameni..??
Unazihitaji mi ninazo nitakupata wapi mimi nikupatie
sisi tunazungukzia chupi wewe unatuonesha gunia hapa.
Kwenye V of course!
chanikiwiti
nyekundu
halafu wapi position ya yale madole ya V
Mi iwe bikini, boxer, g string au hata bukta napenda ziwe white.
Je wewe unapenda rangi ipi?
Mtaani wanaita, "uzulungi"
Jinsia yako please.
Kuna siku boyfriend wangu alinijia na chupi nyekundu, akakosa mwana na maji ya moto
Ndo rangi gani tena hiyo?
Mi iwe bikini, boxer, g string au hata bukta napenda ziwe white.
Je wewe unapenda rangi ipi?