Negrodemus
JF-Expert Member
- Dec 30, 2010
- 2,316
- 677
we ni ke or me?Mi iwe bikini, boxer, g string au hata bukta napenda ziwe white.
Je wewe unapenda rangi ipi?
Za bendera ya Chadema!
Jinsia yako please.
Kuna siku boyfriend wangu alinijia na chupi nyekundu, akakosa mwana na maji ya moto
Nikugawie mmoja?Heee! Una boifrendi?
Nikugawie mmoja?
Rangi zenye mvuto
-nyeupe
-pink
-purple
-cream
-baby yellow...n.k!!!
Bujibuji ni TAASISI sio MTU mmoja