Unapata Taswira gani hapa?

7.jpg



8.jpg


Hapa Kiongozi wa nchi anaonyeshwa wananchi wake wakifanyishwa kazi katika mazingira magumu. Hebu tazama hapo kinamama hao wanabangua korosho bila ya kuwa nyenzo za kazi kwa usalama wao na kiongozi anafurahia tu.

Sasa kama kiongozi alipita na hakuliona hili unategemea hawa wenye kiwanda watabadilika kweli?

Picha kwa hisani ya majengwa blog

kinacho niuma hapa nihii mikono ya kina mama maana navyojuwa mafuta ya korosho ni makali zamani ndiyo tulitumia kujichora tatoo..
 
Back
Top Bottom