Unalijua eneo la siri zaidi duniani Area 51?

So hizo sehemu zote kuna aliens wanafugwa?

Nimekwambia Hakuna uhakika wa uwepo wa aliens mahala popote, Hakuna mjuzi ataekuja kukwambia nini kinafanyika pale sababu Hakuna mwenye uhakika zote Ni conspiracies tu. Wabongo mnapenda sana conspiracies
haya tunapenda hicho hapo juu! sasa nakupa swali doooogo.huwa tunazungumza habari za majini,mapepo,mbinguni,kuzimu,peponi ila wote hatupajui wala mapepo hatujui sura zao, je hakuma mapepo? au majini au mbinguni au kuzimu?
labda ungetaka ujue "allien" ni nini/kiumbe/pepo/mashine,jini nk, halafu ndipo uje na maelezo ya kukubali au kukataa,
 
haya tunapenda hicho hapo juu! sasa nakupa swali doooogo.huwa tunazungumza habari za majini,mapepo,mbinguni,kuzimu,peponi ila wote hatupajui wala mapepo hatujui sura zao, je hakuma mapepo? au majini au mbinguni au kuzimu?
labda ungetaka ujue "allien" ni nini/kiumbe/pepo/mashine,jini nk, halafu ndipo uje na maelezo ya kukubali au kukataa,

Hakuna
 
area-51.jpg
 
eneo lililopo jumba la freemason nyuma ya hyatt regency hotel dar es salaam,zamani hotel kempinski.
 
mkuu huko ni jimbo la virjinia,langley, ndiko yaliko makao makuu ya hao jamaa wa cia, duh! Hapo kuna vitengo mpaka basi. Vyeupe na vile vilivyo futika na mpaka walikuwa vya "maind control"........ Uzuri wa hao jama wa cia,nasa,fbi wanapenda alama ya nyota na ndege flani mkubwa......

sasa uzuri ni nini hapo mkuu?,si inasemekana alama ya ndege eagle katika taasisi za kimarekani humwakilisha lucifer?.sio maneno yangu,ni maneno ya consipirancy theorists nimeyasoma tu HAPA.
 
sasa uzuri ni nini hapo mkuu?,si inasemekana alama ya ndege eagle katika taasisi za kimarekani humwakilisha lucifer?.sio maneno yangu,ni maneno ya consipirancy theorists nimeyasoma tu HAPA.

Ndio maana mambo haya hayana hizo iman za dini.
 
Hili eneo lajulikana kama area 51 linapatikana katika jimbo la nevada uko Marekani, eneo hili ndiko kulipo na kituo kikuu cha ujasusi cha Marekani, na inaaminika kwamba Majajusi wa Marekani hukutana na viumbe vya ajabu na kupewa siri na maarifa ya kisayansi jinsi gani ya kuitawala dunia.

Na hapo ndipo kiumbe cha ajabu kilipoifadhiwa baada ya kukamatwa na majasusi wa marekani miaka ya 90 baada ya kuachwa na wenzake waliotoroka kusikojulikana na chombo chao UFO na kumsahau mwenzao aliekuwa mbali na kuishia mikononi mwa majasusi wa Marekani.

Si rahisi kwa mtu wa kawaida kufika uko hata mtawala wa marekani hufika uko kwa kiapo , na mara moja kwa miaka 10.

vxlmrry4bqqyzwxdoua7.jpg


area51.jpg

area_51_warning_sign_by_dlimedia-d4txuy4.jpg
km518c391c.jpg
hqdefault.jpg
area51.jpg
images
7C6E22477BCDAE7B8CB0AFABEF85832E.jpg

maxresdefault.jpg
hqdefault.jpg
Area-51-Jerky.ashx
 
Hao aliens wapo me na ke au ?

Yup,eneo hilo ndipo hadi leo wapo the two white tall aliens,ukweli ni kwamba vituvingi wanavyofanya hawa jamaa sio akili za kibinadamu,wanapewa na aliens ambao wana uwezo wa kuishi hadi miaka 10,000
Unadhani mpaka watuwamefikia hatua ya kufanya project ya CERN bila msaada ya hivyo viumbe,project ambayo ikikosewa kidogo tu ita destroy dunia nzima?
wengi wa area 51 wako kwenye unit ya MEN IN BLACK
 
Hao aliens wapo me na ke au ?
Iam not sure lakini tayari kuna breeding ilishafanyika kati ya alliens na humans,wanaitwa reptilians,wana akili sana ila yule alien waliyem capture mexico alikuwa ni mwanamke na alitoa siri nyingi sana thats why usishangae hata wazungu wanamdharau mungu maana kuna forces nyingi sana zinazotutawala

muangalie huyu bodyguard wa obama,ni breeding ya aliens na binadamu

 
Last edited by a moderator:
Iam not sure lakini tayari kuna breeding ilishafanyika kati ya alliens na humans,wanaitwa reptilians,wana akili sana ila yule alien waliyem capture mexico alikuwa ni mwanamke

Dah! Baada ya kumkamata, binadamu akamuingilia.. ngoja niishie hapa
 
Back
Top Bottom