unakuwa na bf, gf 10, 20, wa nn wote hao m1 anatosha!

Awe nae hata mia kama ana uwezo wa kuwatimizia huduma zao. Mchezaji mzuri ni yule anayepata mechi nyingi za kirafiki.
 
Though hukufuata taratibu za kiuandishi kwa kuextendi heading as body ya swali lakini jibu lipo wazi...wanaume wajanja na ambao wakati haujawatupa mkono ni wale walioshikamana kwa mwanamke mmoja,waaminifu na wasio na upeke peke wa kiume...embu tufanye sum - up,kwamba baada ya kumiliki wanawake wote hao mwisho wake ni nini! Kwanini tusibadilike?..why!
 
Lizzy say THANK YOU for this useful post.
 
Though hukufuata taratibu za kiuandishi kwa kuextendi heading as body ya swali lakini jibu lipo wazi...wanaume wajanja na ambao wakati haujawatupa mkono ni wale walioshikamana kwa mwanamke mmoja,waaminifu na wasio na upeke peke wa kiume...embu tufanye sum - up,kwamba baada ya kumiliki wanawake wote hao mwisho wake ni nini! Kwanini tusibadilike?..why!
anaogopa kutendwa,so anakuwa na extra na atakuwa hajapoteza mda wake.isitoshe wengine
wanakuwa na wapenzi wengi but mioyoni mwao wanafahamu yupi wa kweli
 
Si unajua tena watoto wa dot.com..ila mbona liko wazi hili..ndege wafananao ndio huruka pamoja..ukiwa na wapenzi wengi lazima na wewe ukubali kuwa kati yao wapo wenye wapenz wengne wengi zaidi yako..ili we unapokuwa bize na wengne na yeye anajiachia kwa wake...ila ukiwa na mmoja ni rahisi kulindana...akili kichwani mwako!
 
kumbe kuwa na m1 poa zaid
 
anaogopa kutendwa,so anakuwa na extra na atakuwa hajapoteza mda wake.isitoshe wengine
wanakuwa na wapenzi wengi but mioyoni mwao wanafahamu yupi wa kweli

sasa huoni ukiwa na wengi hata huyo mmoja wa kweli moyon cku akijua ni rahisi kukutenda? Kwa nin usijiamin na kumuweka wazi huyo wa moyon...hujiamini?(sio kama nakuuliza wewe actually najua ulikuwa unatoa point tu..)
 
c ndo hapo xaxa
 
Lizzy,salute mama..Excellent,excellent baba..kwa muda mrefu sana nimekua namchungulia mchawi kwa jicho la mahaba...i.e kumwonea aibu mchawi ilihali yuu wazi! Hakuna asiyejua kufikia sasa kua mwanaume ndiye kiini cha mabadiliko,na kwamba mabinti wapo kwenye risk sana kukabiliana na ulaghai wa wanaume...mathalan bint kajivalia kaguo kake,kalikom-expose 'sehemu sehemu za mwili' kutokana na hali ya hewa ya joto na mwanaume ukaichukulia hali hiyo positive,kwanini maombolezo yasingepungua kim si kukoma kabisa!
 
Awe nae hata mia kama ana uwezo wa kuwatimizia huduma zao. Mchezaji mzuri ni yule anayepata mechi nyingi za kirafiki.

c kwel unaweza ukapata mech nyng na bdo ukawa mbovu 2 suala ni ujuz
 
Back
Top Bottom