Movie 10 Bora za muda wote

gekaboy

Member
Nov 27, 2021
49
103
Hizi ndio movie kumi bora za muda wote azichoshi . Japo sijazipanga kwa mtiririko

1. Apocalypto ( jaguar) kuna wahuni walitupiga fix et ni Ronaldinho
2.the lord of the rings
3.king Kong 2005
4.pirates of Caribbean zote
5.terminator : judgement day
6.ong-bak
7.rambo first blood
8.the gladiator
9.Ip man
10.commando (baba Jane)

NB kuna zingne zipo Kali ila sijaziweka kama unaona kuna movie haifai kuwa hapo kwny top 10 share mawazo kweny comments na utaje ipi tuiweke badala ya hizo
 
Kuna movie nyingi bora ila kwangu ni hizi za vita
1.Schindler's list
2.sometime in april
3.Hotel Rwanda nk
Hizi movie nikiwa napitia shida ama matatizo hua naziangalia na kujiona mm sina matatizo kuna watu wamepitia matatizo nabaki natokwa machozi na kujipa moyo nipambane.
 
Hizi ndio movie kumi bora za muda wote azichoshi . Japo sijazipanga kwa mtiririko

1. Apocalypto ( jaguar) kuna wahuni walitupiga fix et ni Ronaldinho
2.the lord of the rings
3.king Kong 2005
4.pirates of Caribbean zote
5.terminator : judgement day
6.ong-bak
7.rambo first blood
8.the gladiator
9.Ip man
10.commando (baba Jane)

NB kuna zingne zipo Kali ila sijaziweka kama unaona kuna movie haifai kuwa hapo kwny top 10 share mawazo kweny comments na utaje ipi tuiweke badala ya hizo
Inaonekana unaangalia movie za daraja la chini sana
 
Hizi ndio movie kumi bora za muda wote azichoshi . Japo sijazipanga kwa mtiririko

1. Apocalypto ( jaguar) kuna wahuni walitupiga fix et ni Ronaldinho
2.the lord of the rings
3.king Kong 2005
4.pirates of Caribbean zote
5.terminator : judgement day
6.ong-bak
7.rambo first blood
8.the gladiator
9.Ip man
10.commando (baba Jane)

NB kuna zingne zipo Kali ila sijaziweka kama unaona kuna movie haifai kuwa hapo kwny top 10 share mawazo kweny comments na utaje ipi tuiweke badala ya hizo
Kumi bora kwa mujibu wa nani?
 
Game of thrones, hii weka mbali na watoto, pia wageni wa heshima utaaibika.
Jumong
Lord of the rings
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom