Na mimi ndio mwanaume wa kwanza kuulizia mshahara wa mkewangu na kuupangia bajeti

mr pipa

JF-Expert Member
Jul 26, 2021
2,332
4,858
Isi unavyoweza, kutokana na ndoa kuwa ngumu kila dume lililopo kwenye ndoa kulalamika ooh namuhudumia lakini haniheshimu ananisaliti nk sasa kwangu nimekuja na mfumo wa fo4 fo4 two huu mfumo, upo hivi unamuhoji kwanza wife unataka pesa? Je unataka kuingiza kipato uwe na uhuru kipesa? Akijibu ndio kinachofuata vigezo na mashart kuzingatiwa, anatafutiwa kazi au anapewa mtaji kila mwisho wa mwez ukifika lazima nihoji mshahara upo wapi? Na ukipatikana kama laki sita laki mbili zake laki nne za mzunguko wa nyumbani na maendeleo na hiyi ndio inaitwa 50/50 broo hawana shukrani hao hata ukisema ujitoe utaishia kujiua sa we jifanye unakaza fuvu matokeo utayapata, mwanaume umeagizwa kuwa kichwa, msimamizi, kiongozi, msimamie mkeo onyesha uanaume sio kisa mbususu basi unakuwa jinga jinga, nyinyi ni mwili mmoja mkeo ni kama msaidizi wako, wanaume weng tunalia lia tokana na kutokusimama imara kama mwanaume mmeacha utaratibu wa babu zenu mnaiga utaratibu wa kipuuzi, matokeo yake every day wanawake wanawake wanawake
 
hivi wanawake ni hawana dini, maana ni kama wamezidi uovu
 
mimi nashangaa malalamiko juu ya wanawake yamezidi, hadi nanza kumuogopa mama yeyoo wangu hapa nyumbani
Actually ukiona mtu mpaka kupandisha uzi jua kwa ground mambo si shwari , ukiona mwanamke wako ni rahisi kwenda kinyume jua msimamo wako kama mwanaume haujaeleweka , hakuna njia sahihi ya kuzuia usaliti usitokee , lakini kama mwanaume hakikisha unapotokea maamuzi yako yanajulikana moja kwa moja.No forgiveness , Kumuogopa mwanamke ni kuogopa maumivu ya kimaamuzi na huo ni udhaifu.
 
kila mmoja husimama kwenye wajibu wake,
Mkuu mgawanyo wa majukumu kwa mujibu wa tamaduni za kiafrika siyo wajibu wa mke kuchangia pato la familia, kitendo cha mkeo kuchangia pato la familia hapo anakuwa hajasimamia wajibu wake bali anakuwa amekusaidia wajibu wako, ndio maana nikauliza vipi na wewe unamsaidia majukumu ambayo ni wajibu wake

Cc Depal amejibu tayari
 
Back
Top Bottom