Nakumbuka jinsi ambavyo nilikuwa nafanya mtihani huku najua matokeo yangu yatakuwaje. Siji kusahau kamweWanajamvi.
.
.
Leo wanafunzi 572, 338 wa kidato cha nne kutoka shule 5,371 kote nchini wameanza mtihani wa taifa.
.
.
Hebu tukumbushane hapa nini hasa unakumbuka wakati unafanya mtihani wa kidato cha nne
Sintosahau paper limevuja, tukafanya solving usiku mzima, kuingia kwenye mtihani kitu chenyewe kabisa, ile imefika nusu saa tukaambiwa tusimame wakakusanya makaratasi yao wakatugawia mtihani mwingine, nusu ya darasa tuliangua vilioWanajamvi.
Leo wanafunzi 572, 338 wa kidato cha nne kutoka shule 5,371 kote nchini wameanza mtihani wa taifa.
Hebu tukumbushane hapa nini hasa unakumbuka wakati unafanya mtihani wa kidato cha nne
Sintosahau paper limevuja, tukafanya solving usiku mzima, kuingia kwenye mtihani kitu chenyewe kabisa, ile imefika nusu saa tukaambiwa tusimame wakakusanya makaratasi yao wakatugawia mtihani mwingine, nusu ya darasa tuliangua vilio
Mkuu acha tu. Kuna watu wengi tu walikuwa na wasiwasi eti nitapata Div zero kumbe siku zote nilikuwa nawachora tu kwamba "masikini wanajipa hofu ya bure tu". Mhusika mwenyewe kumbe nilikuwa naishi nikijua nitapa Div I fulani ya kibabe sana. Yesu alijua kunifurahisha.Hhahhahahahahaha, matokeo yalikuwaje mdau?
Hahahahhahhaaha, pole sana, ni mwaka gani hiyo?Sintosahau paper limevuja, tukafanya solving usiku mzima, kuingia kwenye mtihani kitu chenyewe kabisa, ile imefika nusu saa tukaambiwa tusimame wakakusanya makaratasi yao wakatugawia mtihani mwingine, nusu ya darasa tuliangua vilio
Pole sana, ndio maana tunaambiwa tuwe makini sana na maneno tunayowasemea wengineNilifanya mtian nikiwa mgonjwa nakumbuka kauli ya katekista aliekuja siku chache kabla ya kuanza kwa mitiani. Alisema "kuna watu watafanya vibaya mitiani yao na watasingizia ugonjwa/kuumwa" hii kauli ilikuwa inazunguka kichwani mwangu mpaka matokeo yalipotoka. Kipindi nasubiria matokeo nilikonda kikabaki kichwa tu, wiki baada ya matokeo niliongezeka mpaka mama akawa ananiambia kweli mwanangu ulikuwa na stress za matokeo.
Kumbe mnaruhusiwa kutumia calculator kwenye mitihani?Mwalimu wa hesabu alituambia calculator haziruhusiwi kwenye chumba cha mtihani.
Kuja kusoma melekezo, vikokotoo vinaruhusiwa.
Iliniuma sana ningepata A nakuja kupata B.
AMenMkuu acha tu. Kuna watu wengi tu walikuwa na wasiwasi eti nitapata Div zero kumbe siku zote nilikuwa nawachora tu kwamba "masikini wanajipa hofu ya bure tu". Mhusika mwenyewe kumbe nilikuwa naishi nikijua nitapa Div I fulani ya kibabe sana. Yesu alijua kunifurahisha.
Imeandikwa
"Na kwa habari ya mambo yajayo (Roho wa Mungu)atawapasha habari zake". Hilo ni miongoni mwa mambo mengi yanayohusu future yangu ambayo Mungu kwa Roho wake amewahi kunipasha habari zake. Ndio maana nimekomaa nae hadi leo
Ninyang'anye vyote ila sio Yesu. Hiyo itakuwa ni hasara ya milele kwangu. Sitaona umuhimu wa kuwepo kwangu hapa duniani
Mimi ninachokumbuka kwamba nimesoma shule ya kishua st.Anne marie mbezi kwa msuguri now nipo street naukaribia ubilioneaWanajamvi.
Leo wanafunzi 572, 338 wa kidato cha nne kutoka shule 5,371 kote nchini wameanza mtihani wa taifa.
Hebu tukumbushane hapa nini hasa unakumbuka wakati unafanya mtihani wa kidato cha nne
Kuanzia mwaka 2020, ndio.Kumbe mnaruhusiwa kutumia calculator kwenye mitihani?
Hayo maneno kiukweli niliona kama nasemwa mimi kabisa, macho hayakuwa yanaona, kichwa kilikuwa kinauma muda wote wa mitiani ila maajabu baada ya kumaliza tu mitiani hali hizo zilikomaPole sana, ndio maana tunaambiwa tuwe makini sana na maneno tunayowasemea wengine
2011 hiyoHahahahhahhaaha, pole sana, ni mwaka gani hiyo?
Inafikirisha SanaYaani umepata B ya hesabu unalalamika? kweli?