Naomba kujuzwa hatua za kufuata ili kurudia mtihani wa Kidato cha Nne

chris22

New Member
Jan 23, 2024
3
2
Naomba Team mnipe hatua zamsingi za kuzingatia ili kujiandikisha kuridia mtihani wa kidato cha nne.

(Mhitaji anataka kituo tu, yeye atajisomea online).
 
Uwe na kama sh elfu 96 mfuko wa shati.
Utaenda kituo unachopenda kufanyia mtihani utapewa reference number inaghalimu SI chini ya elfu 20 Kwa vituo vingi.
then kimbia posta wao watafanya malipo ya mtihani Kwa Baraza au watakupa control number ukalipie mara nyingi wao ndio ulipa.
Ada ya mtihani inategemea na muda kadri unavyochelewa ndio inapanda Kwa nyongeza ya sh elfu 15.
then utapewa option ya kuchagua masomo ya kurudia uyatakayo kama yatakuwa ya sayansi na unaitaji kufanya real practical utaongeza elfu 30 kwenye ghalama za msingi.
Asante 🙏 mengineyo wataongeza wadau
 
Asante sana, umeeleweka vzuri mkuu
Mungu akubariki sana
 
Mungu akubariki
 
Back
Top Bottom