Unakaribishwa Miaka 50 ya Peace Corps Washington DC: Mgeni Rasmi Kikwete

Mwanakijiji.
Naomba utuangalizie huko kama huyu Jamaa ameishapewa GREEN CARD huko US.
Kuna kitu nataka kupropose urgently to my Nation.

Naomba confirmation ya hili urgently.

Waiting to hear from you soonest
 
Taarifa iliyotolewa na makao makuu ya Peace Corps inaeleza kuwa rais Jakaya Kikwete atakuwa mgeni rasmi katika sherehe za miaka 50 ya kuzinduliwa kwa Peace Corps zitakazofanyika mjini Washington D.C Septemba 13 katika makao makuu ya Peace Corps. Siku hiyo hiyo rais Kikwete atakuwa mgeni rasmi katika hafla ya rais mstaafu George W. Bush.

My take:

Inaonekana rais ameamua kwenda Washington mapema kuwakwepa Watanzania waliokuwa wamepanga maandamano September 23 wakati alipotarajiwa kuwa mgeni rasmi katika mkutano wa DICOTA.
Anapeleka suti zake tano dry cleaner.
 
Wazungu wanamdharau lakini yeye haeshi kwenda kujipendekeza. I am sorry this is too much..nasikitika kuongozwa na mtu kaa huyu.
 
Hivi Hamna Namna tunaweza tukafanya na kuwa Jimbo la Marekani
Hata kwa mazingaombwe kama ya Tanzania Bara na Zanzibar?
 
Alikuwa huko lini tena jamani! Jamani Mama Salma usimzoeshe huyu Jamaa supu za Miguu ya kuku ubaona sasa hatulii Nyumbani
alikuwa na mwaliko kutoka kwa Kibaki kama si jana ni leo au kesho...
 
Peace Corps ]

NDO MDUDU GANI?

The Peace Corps traces its roots and mission to 1960, when then Senator John F. Kennedy*challenged students at the University of Michigan*to serve their country in the cause of peace by living and working in developing countries. From that inspiration grew an agency of the federal government devoted to world peace and friendship.
Since that time, 200,000+ Peace Corps Volunteers have served in 139 host countries to work on issues ranging from AIDS education to information technology and environmental preservation.
Today's Peace Corps is more vital than ever, working in emerging and essential areas such as information technology and business development, and contributing to the President's Emergency Plan for AIDS Relief. Peace Corps Volunteers continue to help countless individuals who want to build a better life for themselves, their children, and their communities.
There's quite a bit to learn about the Peace Corps—explore the following sections to get to know its mission, history, and current endeavors in depth.

My Take:-
Ni heshima kubwa kwa Taifa letu changa na Rais wetu kuheshimiwa na kupewa fursa hii.
 
Na akimaliza anaelekea Canada. Na mwezi Oktoba atatinga Australia. Naona mwaka huu utakuwa na furaha sana.

Heshima mbele sana Mkuu wangu Jasusi.

Mkuu hivi chuki zako binafsi kwa mkuu zitaisha lini? Hapa kiongozi anatekeleza kazi zake kama kiongozi wa inchi, tumwache kiongozi afanye kazi yake.

Mkuu nakushauri 2015 urudi Tanzania ukachukue form na wewe ugombee urais, umri unazidi kusogea.
 
Na akimaliza anaelekea Canada. Na mwezi Oktoba atatinga Australia. Naona mwaka huu utakuwa na furaha sana.

Rais wetu mpendwa dkt atarudi November? tutamiss hotuba/tabasamu/vicheko vyake
 
Sina mengi!tunaanza na igunga kutafuta umakini wa wawakilishi wa wananchi.hatuna raisi nchi hii.
 
Asipokuwepo nchini ndo akina Ruhanjo wanatoa maamuzi tata!
Ngoja kituko kingine chaja soon!
Hii ya JK mtaani unataniwa vip umekula miguu ya kuku maana ni kiguu na njia!
 
alisha sema akikaa ndani mtakula nini? baba ni baba hata akiwa mlevi.



tatizo uwaziri mkuu
 
VASCO da Gama wa kizazi kipya, hahahaaaah Christofa Columbus wa wakati wetu, atavumbua tu....mzee wa Suti tooo much bana
 
Kwa hizi shutuma za kudhalilisha sana za Wikileaks laiti ningalikua Mhe Kikwete nisingethubutu kukubali kukaa meza kuu kwa jina la mgeni rasmi. Anyway wengine nyuso zao huwaga hakuna aibu.

Lakini sitoshangaa kusikia huko Marekani kapokelewa na mabango kibao pamoja na kunyatia safari yake ya huko Washington DC.
 
Heshima mbele sana Mkuu wangu Jasusi.

Mkuu hivi chuki zako binafsi kwa mkuu zitaisha lini? Hapa kiongozi anatekeleza kazi zake kama kiongozi wa inchi, tumwache kiongozi afanye kazi yake.

Mkuu nakushauri 2015 urudi Tanzania ukachukue form na wewe ugombee urais, umri unazidi kusogea.

chuki gani? if it is too hard for you to swallow don't read, huyu rais wetu is too much!
 
Back
Top Bottom