Uwezo Tunao
JF-Expert Member
- Nov 14, 2010
- 6,942
- 1,190
Kazi ya balozi wetu huko Marekani ni nini kama si kwenda kwenye minuso ya aina hiyo ya ugeni-rasmi Washington DC??? Mambo mengine bana ...!!!
Heshima mbele sana Mkuu wangu Jasusi.
Mkuu hivi chuki zako binafsi kwa mkuu zitaisha lini? Hapa kiongozi anatekeleza kazi zake kama kiongozi wa inchi, tumwache kiongozi afanye kazi yake.
Mkuu nakushauri 2015 urudi Tanzania ukachukue form na wewe ugombee urais, umri unazidi kusogea.