Unajua kwanini CHADEMA wanataka Bunge Live?

hahahahaha unanichekesha sana. Mbona unalia lia sana. Hebu badirisheni bana katiba yenu yaani mnataka mpige kampeni ndani ya bunge!!!? Ngoja tujenge kwanza nchi baadae litakuwa live lakini sio sasa.

"Nalialia" kwa kutetea uhuru wa kupata habari zisizochujwa? Mkuu, wewe siyo serious mind.
 
Kwani haki ya kupata habari lazima Live? Ni Sheria ipi inayosema mjadala wa bunge uwe live? Mwisho wa siku mtataka watu wakiwa wanajenga barabara iwe live.
Kwa hiyo chama chako ndio kinapo simamia hapo?kuna ubaya gani katika hayo kama kuna Demokrasi ya kweli? sheria iliyopo ya kikatiba ni mwananchi anayo haki ya kupata habari na kwa katiba mbovu iliyopo ndio Udikteta wenu unapo pata nafasi kuwapa habari Wananchi usiku wa manane na pia hakuna dhambi mwananchi kupata habari live, i wish ungejua maana ya neno NEWS kwa undani wake.
 
Na ndio haya malengo yaliyo takiwa kusimamiwa na uongozi ulio pachikwa, natutaona mengi zaidi.
 
Wanaotaka bunge "live" si CHADEMA bali sisi wananchi CDM wanawakilisha matakwa yetu sasa hiyo hoja yako ya kuwa wapo kwa maslahi yao sijui inatokea wapi mleta hoja!
 
hahahaha kwakwakwakwakwa. Badilisheni katiba yenu ni mbovu haijawahi tokea duniani.
Sina la kujibu kuhusu katiba ya Chadema kwani siko huko ila kama haija wahi kutokea ndio imetokea sasa kila kitu kina mwanzo, ninacho jua Mbovu ni katiba ya nchi msiyo taka ibadilike kwasababu ina loopholes zinazo wafavour.
 
Sasa wewe upo upande gani wa Lowasa au Mnyika?
 
Wanaotaka bunge "live" si CHADEMA bali sisi wananchi CDM wanawakilisha matakwa yetu sasa hiyo hoja yako ya kuwa wapo kwa maslahi yao sijui inatokea wapi mleta hoja!
Watu wa kaliba hii vichwa vyao ni vigumu kuelewa hata uki waelewesha ni vigumu kukubali utafiri ni wale mandondocha wanao vikwa mabomu wakajilipue, japo hata yeye pia ni muathirika wakutoona Bunge live.
 
Hapo kwenye red na maelezo yako hayaendani,illogical reasoning.
Kwani huwezi kujenga chama kwa kutetea wananchi?na mbona hizo kanuni nyingine hauzisemi?
 
Sasa kama huyo uliyemuomba atumie hiyo lugha (Kizanaki) haijui, itakuwaje?
Basi kama hajui atumie Lugha inayotuunganisha kama taifa. Lugha pendwa ya Kiswahili.
 
Upsss wewe usiyetaka watu tujue yanayojir bungen Nina wasiwasi na uelewa wako!!!!!!!!!!!!!sio ccm sio chadema wote tunataka kujua yanayojir.kutetea chama hayo hayatuhusu
 
Hapo kwenye red na maelezo yako hayaendani,illogical reasoning.
Kwani huwezi kujenga chama kwa kutetea wananchi?na mbona hizo kanuni nyingine hauzisemi?
Kanuni zipi hebu zitaje? Kwani ndani ya bunge ni sehemu ya kupiga kampeni?
 
Upsss wewe usiyetaka watu tujue yanayojir bungen Nina wasiwasi na uelewa wako!!!!!!!!!!!!!sio ccm sio chadema wote tunataka kujua yanayojir.kutetea chama hayo hayatuhusu
Mbona hudai vikao vya chama chako cha chadema kioneshwe live?
 
Back
Top Bottom