Unajua kuongea lugha ya kabila lako?

I see....!! Watu wanatirika kikwao noma! Ngoja nijaribu na mie, "elo nne nyukwite..!!" ndiyo nimeshiba [kimwera] "eelo nangu nnishiba" ndiyo nimeshiba [kimakonde]
 
Mi nataka kuanzisha kibila linalotwa wa Dar es Salaam ambalo litawahusu watoto wote waliozaliwa wilaya za Ilala, Temeke na Kinondoni ambao hawajui kuzungumza makabila ya wazazi wao, najua nitawavuna wengi.
 
Back
Top Bottom