Unajua kuongea lugha ya kabila lako?

mshighe du! hangi edhani mi ni mwana mdori, yetoni, vandu twedungie uko kae uko! shauri jake. mira hangi ehira huvu thababu ye na odm ni mndu na hommie wakwe! keba na uthwi,


hahaha I know what you are capable of...and that you are grown up ..some apo nilipobold shem cacico....ndo maana apo juu nimestuka sana khaaa
 
Last edited by a moderator:
Kweli mkuu,kwani huko kijijini hawazaliani? hizo lugha hazijaanza leo na bado zipo, Tunaomba mwanzisha mada afute kauli yake

taarifa mkuu. Mi nadhan hili suala ni pevu na ndo kwanza jalada limefunguliwa hiv karibun sasa mim naomba nikushauri wewe mkuu mtoa mada tuachane nayo maana tutabak kudanganyana
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom