Hata makomeo ni mzinza na siyo msukhuma
Ni msubi kisukuma ni cha kujifunza kwani wazazi wake walihamia maeneo ya wasukuma akiwa mdogo na Phares Kabuye (marehemu) mbunge wa zamani ndiyo kabila magufuli siyo Msukuma pure.
Ndiyo ccm mjue siasa dhambi ya ukabila.Unaanzisha thread za kipumbavu kuwaamsha waliolala huku eti mkijipa matumaini eti MNA kura nyingi za wasukuma!