Unajua E.Lowassa sio Mmasai, ni Mmeru aliyeasi kabila, Arumeru mkataeni ila hela kuleni

Hata makomeo ni mzinza na siyo msukhuma

Ni msubi kisukuma ni cha kujifunza kwani wazazi wake walihamia maeneo ya wasukuma akiwa mdogo na Phares Kabuye (marehemu) mbunge wa zamani ndiyo kabila magufuli siyo Msukuma pure.

Ndiyo ccm mjue siasa dhambi ya ukabila.Unaanzisha thread za kipumbavu kuwaamsha waliolala huku eti mkijipa matumaini eti MNA kura nyingi za wasukuma!
 
Hapana ni Mrangi naimesikia kwa mzee mmoja wa long time kinoma. ...(joke)

..... hoja za ukabila karne hii...?

.....ni upumbavu.......!

..... ni kufilisika ki hoja.....!
.......unataka utuaminishe tutumie kabila kama kigezo cha maamuzi yetu kwenye sanduku la kura.....?
....Sisi tujue kabila la mtu..hasa litatusaidia nini sisi Watanzania wa karne hii...?

....tunaenda kutambika ikulu....?

Mwenye kuanzisha uzi huu @ yplus... unalenga nini hasa...?

narudia tena....Waambie wa wenzako kama umetumwa....."ukabila ni fikra za kipumbavu kabisa....!
 
Huyu jamaa wengi wanajua kuwa ni Mmasai,E.L ni Mmeru aliye asi na kukimbilia Umasaini.

Akija Arumeru na kuleta Mihela msikatae,Kuleni ila Kura ni siri yako.

E.L kweli haipendi Arumeru.Kwa kutumia pesa nyingi alifanikiwa kusafirisha Maji tika Katika Ardhi ya Wameru Mt.Meru na kuyapeleka Monduli na kuiacha Arumeru haina Maji.

Mbaya zaidi ana mpa Kampani Mkwe wake Sioy Sumari kulichukua jimbo la Arumeru,Sioy wa CCM akichukua jimbo,Arumeru hamna Bahati na Hamna chenu,Maana Monduli watakuwa na Wabunge 2 na kama unavyojua Mwanaume kwa Mkwe hasemi kitu.

E.L atamtumia Mwanae kushinikiza matakwa yake Arumeru na ninavyo njua E.L ni Bingwa wa Kuhodhi Ardhi,Ana mahekari na Mahekari huko Handeni Tanga.
Arumeru Mashariki take care.

Akiwa mmeru sio mtanzania? umaskini wa mawazo na fikra ni mbaya kuliko umaskini mwingine wowote.
 
Huyu jamaa wengi wanajua kuwa ni Mmasai,E.L ni Mmeru aliye asi na kukimbilia Umasaini.

Akija Arumeru na kuleta Mihela msikatae,Kuleni ila Kura ni siri yako.

E.L kweli haipendi Arumeru.Kwa kutumia pesa nyingi alifanikiwa kusafirisha Maji tika Katika Ardhi ya Wameru Mt.Meru na kuyapeleka Monduli na kuiacha Arumeru haina Maji.

Mbaya zaidi ana mpa Kampani Mkwe wake Sioy Sumari kulichukua jimbo la Arumeru,Sioy wa CCM akichukua jimbo,Arumeru hamna Bahati na Hamna chenu,Maana Monduli watakuwa na Wabunge 2 na kama unavyojua Mwanaume kwa Mkwe hasemi kitu.

E.L atamtumia Mwanae kushinikiza matakwa yake Arumeru na ninavyo njua E.L ni Bingwa wa Kuhodhi Ardhi,Ana mahekari na Mahekari huko Handeni Tanga.
Arumeru Mashariki take care.

Ulaaaniwe
 
Kwa hiyo kama ali asi. Kinachokutia udinde ni nn
 
Lubega na sime alama za mmasai cjui kama anavyo au aliwahi kutumia

Mmechoka kumuita mgonjwa sasa mmekuja na ukabila. Lkn nawaambia mmechelewa siku nyingi sana. Hamtatutenga na lowassa ccm njia zenu zote za shetani zimefungwa hamtaweza lolote labda mumtoe uhai. Napo pia tunaomba kwa mungu wetu atasikia maombi yetu hamtaweza kumfanyia lolote baya. Na mkijaribu tu yatawarudia nyie wenyewe ccm mara saba.
 
Huyu jamaa wengi wanajua kuwa ni Mmasai,E.L ni Mmeru aliye asi na kukimbilia Umasaini.

Akija Arumeru na kuleta Mihela msikatae,Kuleni ila Kura ni siri yako.

E.L kweli haipendi Arumeru.Kwa kutumia pesa nyingi alifanikiwa kusafirisha Maji tika Katika Ardhi ya Wameru Mt.Meru na kuyapeleka Monduli na kuiacha Arumeru haina Maji.

Mbaya zaidi ana mpa Kampani Mkwe wake Sioy Sumari kulichukua jimbo la Arumeru,Sioy wa CCM akichukua jimbo,Arumeru hamna Bahati na Hamna chenu,Maana Monduli watakuwa na Wabunge 2 na kama unavyojua Mwanaume kwa Mkwe hasemi kitu.

E.L atamtumia Mwanae kushinikiza matakwa yake Arumeru na ninavyo njua E.L ni Bingwa wa Kuhodhi Ardhi,Ana mahekari na Mahekari huko Handeni Tanga.yo taka awe
Arumeru Mashariki take care.

so what subiri tarehe 25-10-2015 km siyo 29-10-2015 utajua km ni Raisi ama unavyo taka awe
 
Huyu jamaa wengi wanajua kuwa ni Mmasai,E.L ni Mmeru aliye asi na kukimbilia Umasaini.

Akija Arumeru na kuleta Mihela msikatae,Kuleni ila Kura ni siri yako.

E.L kweli haipendi Arumeru.Kwa kutumia pesa nyingi alifanikiwa kusafirisha Maji tika Katika Ardhi ya Wameru Mt.Meru na kuyapeleka Monduli na kuiacha Arumeru haina Maji.

Mbaya zaidi ana mpa Kampani Mkwe wake Sioy Sumari kulichukua jimbo la Arumeru,Sioy wa CCM akichukua jimbo,Arumeru hamna Bahati na Hamna chenu,Maana Monduli watakuwa na Wabunge 2 na kama unavyojua Mwanaume kwa Mkwe hasemi kitu.

E.L atamtumia Mwanae kushinikiza matakwa yake Arumeru na ninavyo njua E.L ni Bingwa wa Kuhodhi Ardhi,Ana mahekari na Mahekari huko Handeni Tanga.
Arumeru Mashariki take care.

Mbona sijaona ukithibitisha Lowassa ni Mmeru na siyo mmasai ? Nyamaza kimya yplus kama huna hakika unachoandika hapa kama wale watu A town wanaosema kuwa katibu mkuu ccm ndg.Kinana ni mmeru !
Majungu MWISHO jikoni.
Kwa taarifa Wameru ni Wachaga waliohamia chini ya mlima Meru baada ya kukimbia vita uchagani.
 
Last edited by a moderator:
Ninachojua mimi ni Mtazania.
Nilifikiri ungesema siyo Mtanzania?

Pia nakupongeza kwa Kumsifia EL kaweza kutoa Maji Meru kupeleka Monduli kwa kuwa alikuwa Mbunge wa Monduli lakini aliweza, sasa watu wa meru wampe uraisi awaonyeshe kazi waliyoshindwa wabunge wao.
 
Nakumbuka zamani tulikuwa kinondoni siku moja tunacheza karata arba sitini. Tulikuwa pamoja na Mmasai. Sasa mmoja wetu akasema "Sasa ni zamu ya Mmasai kucheza." Kwa hasira kubwa yule Mmasai akasema:"Usiniite Mmasai. Unataka watu wanidharau? Niite Mchaga."
 
Huyu jamaa wengi wanajua kuwa ni Mmasai,E.L ni Mmeru aliye asi na kukimbilia Umasaini.

Akija Arumeru na kuleta Mihela msikatae,Kuleni ila Kura ni siri yako.

E.L kweli haipendi Arumeru.Kwa kutumia pesa nyingi alifanikiwa kusafirisha Maji tika Katika Ardhi ya Wameru Mt.Meru na kuyapeleka Monduli na kuiacha Arumeru haina Maji.

Mbaya zaidi ana mpa Kampani Mkwe wake Sioy Sumari kulichukua jimbo la Arumeru,Sioy wa CCM akichukua jimbo,Arumeru hamna Bahati na Hamna chenu,Maana Monduli watakuwa na Wabunge 2 na kama unavyojua Mwanaume kwa Mkwe hasemi kitu.

E.L atamtumia Mwanae kushinikiza matakwa yake Arumeru na ninavyo njua E.L ni Bingwa wa Kuhodhi Ardhi,Ana mahekari na Mahekari huko Handeni Tanga.
Arumeru Mashariki take care.

Acha upumbavu wa kuchochea ukabila
 
Hoja yako ni nini? Achana ba ukabila, Lowassa lazima awe President ova. Majungu peleka nyumbani kwenu
 
Mmechoka kumuita mgonjwa sasa mmekuja na ukabila. Lkn nawaambia mmechelewa siku nyingi sana. Hamtatutenga na lowassa ccm njia zenu zote za shetani zimefungwa hamtaweza lolote labda mumtoe uhai. Napo pia tunaomba kwa mungu wetu atasikia maombi yetu hamtaweza kumfanyia lolote baya. Na mkijaribu tu yatawarudia nyie wenyewe ccm mara saba.

User Name: yplus
User Title: Senior Member
Last Activity: 5th June 2012 12:31
 
Back
Top Bottom