Unajua E.Lowassa sio Mmasai, ni Mmeru aliyeasi kabila, Arumeru mkataeni ila hela kuleni

yplus

Senior Member
Mar 20, 2012
153
69
Huyu jamaa wengi wanajua kuwa ni Mmasai,E.L ni Mmeru aliye asi na kukimbilia Umasaini.

Akija Arumeru na kuleta Mihela msikatae,Kuleni ila Kura ni siri yako.

E.L kweli haipendi Arumeru.Kwa kutumia pesa nyingi alifanikiwa kusafirisha Maji tika Katika Ardhi ya Wameru Mt.Meru na kuyapeleka Monduli na kuiacha Arumeru haina Maji.

Mbaya zaidi ana mpa Kampani Mkwe wake Sioy Sumari kulichukua jimbo la Arumeru,Sioy wa CCM akichukua jimbo,Arumeru hamna Bahati na Hamna chenu,Maana Monduli watakuwa na Wabunge 2 na kama unavyojua Mwanaume kwa Mkwe hasemi kitu.

E.L atamtumia Mwanae kushinikiza matakwa yake Arumeru na ninavyo njua E.L ni Bingwa wa Kuhodhi Ardhi,Ana mahekari na Mahekari huko Handeni Tanga.
Arumeru Mashariki take care.
 
... kama na ww unataka kuingia kwenye ukoo wa E.L si useme tu atakusikiliza
Yeah, kama rais mstaafu Benjamini Mkapa Nyerere alivyoomba kuingia kwenye ukoo wa akina Vincent, lakini cha ajabu alipokaribishwa akaanza tena kutafuta ukubwa na kupanga huyu awe mwanaukoo na yule asiwe!
 
Ni kweli huyu EL ni msaliti wa wameru. leo hii anaamua kuja meru kwa ajili ya kumkweza mkwewe lakinmi siku zote amejitambulisha kama mmasai. Tusimkubali kwa kuwa anaonekana anaweza vilevile kuukataa uTanzania akasema yeye ni ni Mbaluchistan kama Rostam Azizi.
 
Bora niombe kuingia kwenye ukoo wa Matonya niishi kwa Amani kulikoni niingie kwenye ukoo ambao nitaishi masiha mazuri kwa kutesa Wanyonge...
Heri kuwa Masikini huru kuliko Tajiri Mtumwa...

Better to stay free in Hell than to SERVE in Heaven
 
Baba yake alikuwa tarishi wa serikali ya ukoloni, alitumia nafasi yake ya kuwa karibu na watawala wa kikoloni kuuza mashamba ya Wameru. Wameru alipodai mashamba yao, baba yake alikimbilia Monduli na familia yake.
 
baba yake alikuwa tarishi wa serikali ya ukoloni, alitumia nafasi yake ya kuwa karibu na watawala wa kikoloni kuuza mashamba ya wameru. Wameru alipodai mashamba yao, baba yake alikimbilia monduli na familia yake.

hii ndiyo sababu kubwa nyerere alimchukia lowassa
 
Yaani wewe unajua hilo leo......hiyo sio huja ya msingi lets wait 1st April kwenye saduku la kura.
 
Baba yake alikuwa tarishi wa serikali ya ukoloni, alitumia nafasi yake ya kuwa karibu na watawala wa kikoloni kuuza mashamba ya Wameru. Wameru alipodai mashamba yao, baba yake alikimbilia Monduli na familia yake.

Ni kweli kabisa Baba yake ambaye ni mzee ndosi aliamia monduli peke yake ndugu zake wengi wako maeneo ya nkoanrua na uling'a karibu kabisa na Tengeru.Amejiita mmasai ili aendelee kuwahadaa wamasai wazidi kumpa ubunge,lkn nao mara kwa mara huwa wanamgeuka wakitaka kuweka mmasai mwezao kwa msaada wa karibu kutoka kwa kina sendeka
 
Ni kweli lakini vilevile ni kweli kwamba mama yake lowasa ni Mmasai

Ni kweli kabisa Baba yake ambaye ni mzee ndosi aliamia monduli peke yake ndugu zake wengi wako maeneo ya nkoanrua na uling'a karibu kabisa na Tengeru.Amejiita mmasai ili aendelee kuwahadaa wamasai wazidi kumpa ubunge,lkn nao mara kwa mara huwa wanamgeuka wakitaka kuweka mmasai mwezao kwa msaada wa karibu kutoka kwa kina sendeka
 
vijiweni tunahabarishwa mengi. mara Ed. Lowassa na masai mara ni mmeru. wengine wanaenda mbali eti mchaga ndio maana anapigiwa debe kwa nguvu kubwa. pia wengine wanadiriki kumvusha nchi na kusema ni mkenya eti kwa sababu amewekeza sana huko. wanasema kampuni kubwa inayozalisha na kuagiza maua nchi za nje hususan uingereza ni mali yake. eti na kampuni kubwa inayotengeneza matairi na vipusa vya mpira ni yake. eti baba huyu tajiri balaa. ukweli ni upi?
 
Acha upopoma...unauliza kabila Ili iweje?? Hatuhitaji kujua kabila lake...
 
Back
Top Bottom