Unajua E.Lowassa sio Mmasai, ni Mmeru aliyeasi kabila, Arumeru mkataeni ila hela kuleni

pia sifa yake nyingine nichachu ya mabadiliko katika nchi ya jamhuri ya muungano wa watanzania.......peoplessssssssssss
 
Moderator hizi post za ukabila ziondoe,EL ni mtanzania kama watanzania wengine,ana haki zote kama raia,we mchawi unapandikiza sumu ya ukabika ulaniwe ------
 
Huyu jamaa wengi wanajua kuwa ni Mmasai,E.L ni Mmeru aliye asi na kukimbilia Umasaini.

Akija Arumeru na kuleta Mihela msikatae,Kuleni ila Kura ni siri yako.

E.L kweli haipendi Arumeru.Kwa kutumia pesa nyingi alifanikiwa kusafirisha Maji tika Katika Ardhi ya Wameru Mt.Meru na kuyapeleka Monduli na kuiacha Arumeru haina Maji.

Mbaya zaidi ana mpa Kampani Mkwe wake Sioy Sumari kulichukua jimbo la Arumeru,Sioy wa CCM akichukua jimbo,Arumeru hamna Bahati na Hamna chenu,Maana Monduli watakuwa na Wabunge 2 na kama unavyojua Mwanaume kwa Mkwe hasemi kitu.

E.L atamtumia Mwanae kushinikiza matakwa yake Arumeru na ninavyo njua E.L ni Bingwa wa Kuhodhi Ardhi,Ana mahekari na Mahekari huko Handeni Tanga.
Arumeru Mashariki take care.

Umechelewa sana
 
Siasa zako za kikabila na kitoto hazina nafasi tz. Afu post za namna hii huoni kama unajidhalilisha ndg. Mimi ni ccm lkn siwezi kushabikia thread yako.ni mambo ambayo hatuwezi kuyashabikia hata siju moja.
 
Wameru wanalijua hill na wanamtaka awe raise was. Kibaya zaidi ccm imekwisha arusha unajisumbua
 
Hizo ndizo sera za ccm,hata kinana waliwahi kumwambia kuwa yeye ni msomali,jenerali ulimwengu akaambiwa ni mtusi kisha hao hao wanasema ukawa ni wakabila
 
Huyu jamaa wengi wanajua kuwa ni Mmasai,E.L ni Mmeru aliye asi na kukimbilia Umasaini.

Akija Arumeru na kuleta Mihela msikatae,Kuleni ila Kura ni siri yako.

E.L kweli haipendi Arumeru.Kwa kutumia pesa nyingi alifanikiwa kusafirisha Maji tika Katika Ardhi ya Wameru Mt.Meru na kuyapeleka Monduli na kuiacha Arumeru haina Maji.

Mbaya zaidi ana mpa Kampani Mkwe wake Sioy Sumari kulichukua jimbo la Arumeru,Sioy wa CCM akichukua jimbo,Arumeru hamna Bahati na Hamna chenu,Maana Monduli watakuwa na Wabunge 2 na kama unavyojua Mwanaume kwa Mkwe hasemi kitu.

E.L atamtumia Mwanae kushinikiza matakwa yake Arumeru na ninavyo njua E.L ni Bingwa wa Kuhodhi Ardhi,Ana mahekari na Mahekari huko Handeni Tanga.
Arumeru Mashariki take care.

jk nyerere alisema ukiona mtu anazungumzia ukabila na udini amefilisika kisera tumpuuze. ww pia unapaswa kupuuzwa na watu wote.

ww kabila lako limetusaidiaje kuondoa umaskini acha uovu hautakusaidia. kila mbaguzi huvuna ubaguzi
 
acha upuuzi wako, unaleta ukabila, mmeru na masai ni nani? sisi watanzania tunataka raisi wa wataz. sio wameru na wamasai, nenda ukaswaki upya mdomo wako mchafu.
 
huyu jamaa wengi wanajua kuwa ni mmasai,e.l ni mmeru aliye asi na kukimbilia umasaini.

Akija arumeru na kuleta mihela msikatae,kuleni ila kura ni siri yako.

E.l kweli haipendi arumeru.kwa kutumia pesa nyingi alifanikiwa kusafirisha maji tika katika ardhi ya wameru mt.meru na kuyapeleka monduli na kuiacha arumeru haina maji.

Mbaya zaidi ana mpa kampani mkwe wake sioy sumari kulichukua jimbo la arumeru,sioy wa ccm akichukua jimbo,arumeru hamna bahati na hamna chenu,maana monduli watakuwa na wabunge 2 na kama unavyojua mwanaume kwa mkwe hasemi kitu.

E.l atamtumia mwanae kushinikiza matakwa yake arumeru na ninavyo njua e.l ni bingwa wa kuhodhi ardhi,ana mahekari na mahekari huko handeni tanga.
Arumeru mashariki take care.
acha ukabila lete hoja
acha selema selema unataka nn hatuchagui mkuu wa makabila
 
Huyu jamaa wengi wanajua kuwa ni Mmasai,E.L ni Mmeru aliye asi na kukimbilia Umasaini.

Akija Arumeru na kuleta Mihela msikatae,Kuleni ila Kura ni siri yako.

E.L kweli haipendi Arumeru.Kwa kutumia pesa nyingi alifanikiwa kusafirisha Maji tika Katika Ardhi ya Wameru Mt.Meru na kuyapeleka Monduli na kuiacha Arumeru haina Maji.

Mbaya zaidi ana mpa Kampani Mkwe wake Sioy Sumari kulichukua jimbo la Arumeru,Sioy wa CCM akichukua jimbo,Arumeru hamna Bahati na Hamna chenu,Maana Monduli watakuwa na Wabunge 2 na kama unavyojua Mwanaume kwa Mkwe hasemi kitu.

E.L atamtumia Mwanae kushinikiza matakwa yake Arumeru na ninavyo njua E.L ni Bingwa wa Kuhodhi Ardhi,Ana mahekari na Mahekari huko Handeni Tanga.
Arumeru Mashariki take care.

Mtoa mada hujielew nan kakwambia si tunachagua rais kisa kabila???sie tunaangalia kiongoz makin atakaeweza kututumikia na lowasa ndie ametuonesha hilo
 
Huyu jamaa wengi wanajua kuwa ni Mmasai,E.L ni Mmeru aliye asi na kukimbilia Umasaini.

Akija Arumeru na kuleta Mihela msikatae,Kuleni ila Kura ni siri yako.

E.L kweli haipendi Arumeru.Kwa kutumia pesa nyingi alifanikiwa kusafirisha Maji tika Katika Ardhi ya Wameru Mt.Meru na kuyapeleka Monduli na kuiacha Arumeru haina Maji.

Mbaya zaidi ana mpa Kampani Mkwe wake Sioy Sumari kulichukua jimbo la Arumeru,Sioy wa CCM akichukua jimbo,Arumeru hamna Bahati na Hamna chenu,Maana Monduli watakuwa na Wabunge 2 na kama unavyojua Mwanaume kwa Mkwe hasemi kitu.

E.L atamtumia Mwanae kushinikiza matakwa yake Arumeru na ninavyo njua E.L ni Bingwa wa Kuhodhi Ardhi,Ana mahekari na Mahekari huko Handeni Tanga.
Arumeru Mashariki take care.

Yprus,wewe umevulugwa.Ukabila wako ni ujinga wako. Sisi huku kanda ya ziwa tunampenda huyo unayemwita mmeru kuliko huyu Msukuma mwenzetu na ingekuwa ni ukabila hakika Marais wote wangelitoka usukumani au uchagani. Acha ujinga wako were mwehu.
 
Huyu jamaa wengi wanajua kuwa ni Mmasai,E.L ni Mmeru aliye asi na kukimbilia Umasaini.

Akija Arumeru na kuleta Mihela msikatae,Kuleni ila Kura ni siri yako.

E.L kweli haipendi Arumeru.Kwa kutumia pesa nyingi alifanikiwa kusafirisha Maji tika Katika Ardhi ya Wameru Mt.Meru na kuyapeleka Monduli na kuiacha Arumeru haina Maji.

Mbaya zaidi ana mpa Kampani Mkwe wake Sioy Sumari kulichukua jimbo la Arumeru,Sioy wa CCM akichukua jimbo,Arumeru hamna Bahati na Hamna chenu,Maana Monduli watakuwa na Wabunge 2 na kama unavyojua Mwanaume kwa Mkwe hasemi kitu.

E.L atamtumia Mwanae kushinikiza matakwa yake Arumeru na ninavyo njua E.L ni Bingwa wa Kuhodhi Ardhi,Ana mahekari na Mahekari huko Handeni Tanga.
Arumeru Mashariki take care.

hatuwezi kumchagua wala kumpa nafasi ya kuongoza hili taifa ilihali alikua mwisi fisadi katika miaka 38 iliyopita ya ccm awamu hii tunachagua kiongozi ambaye ni mchapakazi na mwadilifu magufuli
 
Back
Top Bottom