Unajua E.Lowassa sio Mmasai, ni Mmeru aliyeasi kabila, Arumeru mkataeni ila hela kuleni

Awe Mmeru, mmasi, mnyakyusa, mchagga, msubi, muhindi, mimi kura yangu simpi ng'ooo! Kura yangu ni kwa mzee wa kazi tu JOHN POMBE MAGUFULI. #HapaKaziTu
 
...... Hujui uongeacho kaa kimya.

Kwanza Siyoi sio mgombea Arumeru wala sio mwanaaCCM, Pili Maji hayana Mpaka na sisi wameru hatukuwahi kugombania maji Na sisi Meru kila mahali tuna Maji Na mengine yanatumika Arusha Mjini na maeneo ya Kia koa Wa Kilimanjaro.


Lowassa hakuwa kukana kabila lake la Meru maana hajawahi kuulizwa kabila lake maana pia Watanzania hatuna tabia ya kuulizana Makabila yetu.



Uzi wako umejaa uchonganishi Na haukubaliki katika karne hii ya 21

Acha ulevi isome thread vizuri
 
Mmeru ni Mtz, Mmasai ni Mtz nk nk.. Kumbagua mtu kwa kabila lake ni upumbavu!!
 
Nawashangaa sn mnamjadili ukabila tn kwa mihemko bila kuzingatia mnachokijadl hakina hoja ya msingi,,,mbn MAGUFULI ni MZINZA na sio MSUKUMA na hilo tunalijua kwamba ni mwongo kuanzia ktk kabila mpk ahadi zake

Tena kuna wanaosema ni mhaya..wapo wanaosema alihamishia jimbo la chato kutoka kagera kuja geita ili kuficha asili yake ya uhaya! Na kale katabia kakujisfu sana kama kweli bas hajakaficha sana! Ol in ol hatujachagui kabila ya mtu hata angekua Mkinga tunamtaka yy tu
 
vijiweni tunahabarishwa mengi. mara Ed. Lowassa na masai mara ni mmeru. wengine wanaenda mbali eti mchaga ndio maana anapigiwa debe kwa nguvu kubwa. pia wengine wanadiriki kumvusha nchi na kusema ni mkenya eti kwa sababu amewekeza sana huko. wanasema kampuni kubwa inayozalisha na kuagiza maua nchi za nje hususan uingereza ni mali yake. eti na kampuni kubwa inayotengeneza matairi na vipusa vya mpira ni yake. eti baba huyu tajiri balaa. ukweli ni upi?

Cha muhimu mabadiliko kwanza, ukabila, udini, ukanda ni baadae, na huu ujinga upeleke kwa wajinga wenzio..!!
 
Huyu jamaa wengi wanajua kuwa ni Mmasai,E.L ni Mmeru aliye asi na kukimbilia Umasaini.

Akija Arumeru na kuleta Mihela msikatae,Kuleni ila Kura ni siri yako.

E.L kweli haipendi Arumeru.Kwa kutumia pesa nyingi alifanikiwa kusafirisha Maji tika Katika Ardhi ya Wameru Mt.Meru na kuyapeleka Monduli na kuiacha Arumeru haina Maji.

Mbaya zaidi ana mpa Kampani Mkwe wake Sioy Sumari kulichukua jimbo la Arumeru,Sioy wa CCM akichukua jimbo,Arumeru hamna Bahati na Hamna chenu,Maana Monduli watakuwa na Wabunge 2 na kama unavyojua Mwanaume kwa Mkwe hasemi kitu.

E.L atamtumia Mwanae kushinikiza matakwa yake Arumeru na ninavyo njua E.L ni Bingwa wa Kuhodhi Ardhi,Ana mahekari na Mahekari huko Handeni Tanga.
Arumeru Mashariki take care.

Wasio na hoja mara zote hukimbilia vitu dhaifu kama kabila, dini, nk. Umeshashindwa kabla hujaanza...watz wa leo Sio wajinga wa kiwango chako
 
Moderator Invisible Paw nini ensence ya Uzi kama huu kuepo siku hizi mnatumia Viroba vya Nchi gani? Uzi wa Ukabila unaanzishwa mpaka unafikisha comments 80 bado haujastukiwa upo taangu asubuhi!
 
Last edited by a moderator:
Potelea karibu hata lowasa awe katoka kuskijulikana sisi tunampa kura ilimradi ccm itoke madarakani
 
.. faiza foxy huyu mbibi mkabila sana
Anafaa afungwe mjiwe shingoni na tumtupe baharini
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom