Unamuacha unaendelea na wengine maana yeye sio mtu pekeakeEt jaman mtu unamtumia txt anaku blue tik anakaa kimya unamchukuliaje? Sipendezewi na hii tabia
Hamna ubize wa hivyoLabda yuko busy.
Njoo kwangu nitakuwa nakujibu haraka na wala sitakubluetick.Et jaman mtu unamtumia txt anaku blue tik anakaa kimya unamchukuliaje? Sipendezewi na hii tabia
Utaliwa wote ufe sasa....Nimeutoa wote
Sio kweli,njoo tukale mema ya nchi bhanaWalewale tu
mpaka sasa hivi hujambock tuu mpaka umekuja huku ukenge ukenge tuu.Et jaman mtu unamtumia txt anaku blue tik anakaa kimya unamchukuliaje? Sipendezewi na hii tabia