Unajisikie au unamtafisiri vipi mtu huyu?

Kuna lishibombo moja nilikua naliona lina akili mara ghafla nashangaa ujumbe eti " Na penzi letu kama summa na ulinzi kama summa'.Sijajibu mpaka leo .Niliona nadeal na box hapa.
 
Kuna lishibombo moja nilikua naliona lina akili mara ghafla nashangaa ujumbe eti " Na penzi letu kama summa na ulinzi kama summa'.Sijajibu mpaka leo .Niliona nadeal na box hapa.
kwann sasa dada???
 
Ukitak uishi Kwa maana be positive ona Yuko busy au lah hajashika simu potezea mapenzi Sikuhiz usitegemee kurudishiwa upendo km ulinao Wew penda kiasi dear japo Mimi siwez😀
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom