Unajifanya unajua kudanganya, huh.!

Mbimbinho

JF-Expert Member
Aug 1, 2009
8,316
7,734
Jamaa alikuwa na mke wa rafiki yake gest, ghafla simu ya mdada ikaita.
MDADA: Haloo , ok, sawa, alaaaa , ok have a nice time jamani msalimie mwambie na mimi mnitoe out siku moja. Ok sweety, miss you.
JAMAA:Nani huyo?
MDADA:Mume wangu huyo, ananambia yuko na wewe Morogoro mmeamua kulala huko leo.
 
wizi ni janga haahaaa ina maana na jamaa alikua na kishitobe kule alikokua
 
Aliyeuza cheni bandia kapewa pesa bandia. Chezea kinamama wewe.. Ngoma droo babake.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom