Fisherscom
JF-Expert Member
- Mar 13, 2008
- 1,763
- 764
Itakuwa utata mkuu kutaja,but nimekumbuka wimbo wa Mwana FA....mimi na mabinti damdamu. Nawapenda wote JF members.
.......Sijui hata upendo gani unaozungumziwa hapa.
mmmmhTutabanana hapa hapa leo ukitoa kitu chenye kichwa nitakupenda ila ukija na mambo ya ajabu tunagawana njia.wazo jema adilifu fikirifu tu vinginevyo hapendwi mtu hapa ndoa yangu ni bora zaidi na tukutane jamvini tu
hapa italeta ugomvi tu.....take it from me...
Mkuu Kaizer, Kwanini ilete ugomvi? Kivipi?
hii sredi imekaa kimtego mtego!mtu kama kaizer na fidel80 LAZIMA WAIPOTEZEE
Tuseme ukweli tuu jamani kwani tunaonana uso kwa uso? Wakati mioyoni mwetu tunafahamu sana kuwa mtu unapoanza kusoma alichochangia fulani na fulani unajua kabisa nani na nani wanaokuvutia kwa hoja na mawazo yao kila uingiapo humu JF. Mimi niko wazi kabisaaaaaaa, nawapenda wote lakini kuna wanaonifurahisha sana humu nao ni.. FL1 na KAIZER... ningekuwa na uwezo wa kuwaona live kweli ningeandaa kiti moto kama wanatumia basi tungeila pamoja na kubadilisha nao mawazo!
Hommie nilifikiri kura yako ingeangukia kwangu.Mimi pia nakufeel sana tu Sydney.....uko liberal....keep it up
Me napena kila nafsi hata wangu adui,
Kuanzia morning mpaka adhuhuri,
Ila kusema ukweli napenda wacheshi zaidi,
Hommie nilifikiri kura yako ingeangukia kwangu.
Na bia zote zile nazokumiminia kwenye glasi kumbe hamna kitu? Subiri..........
Naona freestyle imehamia huku.
Twende kazi kiongozi.
Hehehe! Kwaresma hii, gesti milango haifunguki.umetokea gest gani hommie? wataka niende kinyume na torati? LOL
Acha maofutopiki turudi kwa yetu mada,Cheki navyong'aa cheki navyowaka
Wote wananideku upo hapo kaka?
ukiniita kiongozi unadidhalilisha,
inamaa nimechangia kuiweka hilitaifa lilipo.
Hehehe! Kwaresma hii, gesti milango haifunguki.
Pasaka inakaribia, misiba ya mbuzi iko usoni (sore ofu topiki)
Ukipata nauli hommie, kuna mbuzi wa shughuli kashaingia mitaa ya tegeta.Hii style uliyoingia nayo, imenifanya nihisi kama umetoka Mkuruanga kule!
Utabiri wa hali ye hewa unaonyesha mbuzi wote sasa hivi wana wasi wasi manake shughuli imekaribia!
Again
hii sredi imekaa kimtego mtego!mtu kama kaizer na fidel80 LAZIMA WAIPOTEZEE
siku hizi mialiko inatolewa KINAMNA NAMNA.bahati mbaya kwako kwamba ninapajua mahala...!kibaya zaidi ni kwamba ''katibu mkuu'' ananifahamu.nitakuja bila kupiga simuUkipata nauli hommie, kuna mbuzi wa shughuli kashaingia mitaa ya tegeta.
....this is to inform you kwamba I HAVE NOTED IT WITH MANY SENKSI!karibu valuu kwa maandazi hapa ofisiniIt is not the lack of love but the lack of friendship that ends marriage.