Unahisi kumpenda nani hapa JF?

kila mtu humu JFana nafasi yake kwangu......we complement each other
wapwaz and binamuz ni inevitable, hili halina mjadala
laaziz wangu Balantanda...thats given
hata hivyo chuki kwenye moyo wangu siipi nafasi nisije kufa kabla ya siku zangu
 
Tufanye mkeo ni The Masaki-Makambako wonder of the wedding. We unajua yuko kwenye unajimu........ Lakini...................Unamkuta na Fidel ndani ya Usalule........... Ah! Ngoja tuishie hapo.
this is serious case!talaka tu hapo
 
kila mtu humu JFana nafasi yake kwangu......we complement each other
wapwaz and binamuz ni inevitable, hili halina mjadala
laaziz wangu Balantanda...thats given
hata hivyo chuki kwenye moyo wangu siipi nafasi nisije kufa kabla ya siku zangu
Safi sana mamushka. Sasa hebu msome wifiyo hapo chini....... Agrrrrrr!

Mie namfeeel Invisible sio wewe invizibo
 
Hivi taratibu za talaka zikoje? Hebu angalia hapo chini shemejio anamfeel nani......

:mad::mad::mad:!!!!!!
Shikamoo baba watoto!
Wewe Nakupenda tena nakuzimia,huyo invisible namfeel tu.Hata usiwe na shaka mpenzi sitisha mipango ya talaka tafadhali.
 
Shikamoo baba watoto!
Wewe Nakupenda tena nakuzimia,huyo invisible namfeel tu.Hata usiwe na shaka mpenzi sitisha mipango ya talaka tafadhali.

Shemeji kwa mashairi tu, sio mchezo...hommie huyoooooo taratiib anarudisha upanga alani!:D
 
Hii hali ya hewa leo jamani gesti za Sinza lazima zitajaa mapema, halafu itasababisha watu kuvunja nadhiri zao za Kwaresima!
 
Hii hali ya hewa leo jamani gesti za Sinza lazima zitajaa mapema, halafu itasababisha watu kuvunja nadhiri zao za Kwaresima!
mpwaaz kuna jukwaa la hali ya hewa za gesti hujaliona?
 
mbona unanifeel wakati unajua mimi ni mume wa mwanamke mwenzio?[/QUOTE]

Leleleliloleleliloooooooooo babaaaaaaaaaaaaaaa!
Hasira za niniiiii oooooo babaaaaaaa
wataka kuniua bureeeeee babaaaaa
chuki ya nini kati yangu mimi na weweeeeeeeeee!

Wangu hayupoooooooo,wako hayupooooooooo
Mie nina wangu Iribini nawe una wako nyumbaniiiiiii
Chuki ya nini kati yangu mimi na weweeeeeee X2
Nasemaaaa sina makosaa wewe babaaaaaaa.
 
Shikamoo baba watoto!
Wewe Nakupenda tena nakuzimia,huyo invisible namfeel tu.Hata usiwe na shaka mpenzi sitisha mipango ya talaka tafadhali.

inaelekea baba Matesha hiyo huwa inamlewesha kabisa......

kila wakati akikupiga mkwara unaanguka na 'shikamoo'.....
 
Shikamoo baba watoto!
Wewe Nakupenda tena nakuzimia,huyo invisible namfeel tu.Hata usiwe na shaka mpenzi sitisha mipango ya talaka tafadhali.
Umesamehewa

Usirudie tena. BTW unaionaje hii hali ya hewa?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom