Unahisi kumpenda nani hapa JF?

Itakuwa utata mkuu kutaja,but nimekumbuka wimbo wa Mwana FA....mimi na mabinti damdamu. Nawapenda wote JF members.
 
Napenda sana post za Mwanakijiji na Woman of Substance,Mfukunyuzi ananifurahisha na picha anazobandika kule kwenye photos.,post za Bwabwa ni utata tu and funny ofcourse.,watu hawa na wengine wote ambao sijawataja wote nawahusudu,they are making my days and giving me a reason to smile..kudos
 
Tutabanana hapa hapa leo ukitoa kitu chenye kichwa nitakupenda ila ukija na mambo ya ajabu tunagawana njia.wazo jema adilifu fikirifu tu vinginevyo hapendwi mtu hapa ndoa yangu ni bora zaidi na tukutane jamvini tu
mmmmh
 
hii sredi imekaa kimtego mtego!mtu kama kaizer na fidel80 LAZIMA WAIPOTEZEE:D:D
 
Tuseme ukweli tuu jamani kwani tunaonana uso kwa uso? Wakati mioyoni mwetu tunafahamu sana kuwa mtu unapoanza kusoma alichochangia fulani na fulani unajua kabisa nani na nani wanaokuvutia kwa hoja na mawazo yao kila uingiapo humu JF. Mimi niko wazi kabisaaaaaaa, nawapenda wote lakini kuna wanaonifurahisha sana humu nao ni.. FL1 na KAIZER... ningekuwa na uwezo wa kuwaona live kweli ningeandaa kiti moto kama wanatumia basi tungeila pamoja na kubadilisha nao mawazo!

Mimi pia nakufeel sana tu Sydney.....uko liberal....keep it up
 
Mimi pia nakufeel sana tu Sydney.....uko liberal....keep it up
Hommie nilifikiri kura yako ingeangukia kwangu.

Na bia zote zile nazokumiminia kwenye glasi kumbe hamna kitu? Subiri..........
 
Me napenda kila nafsi hata wangu adui,
Kuanzia morning mpaka adhuhuri,
Ila kusema ukweli napenda wacheshi zaidi,
 
Hommie nilifikiri kura yako ingeangukia kwangu.

Na bia zote zile nazokumiminia kwenye glasi kumbe hamna kitu? Subiri..........

umetokea gest gani hommie? wataka niende kinyume na torati? LOL
 
Naona freestyle imehamia huku.

Twende kazi kiongozi.

Cheki navyong'aa cheki navyowaka
Wote wananideku upo hapo kaka?

ukiniita kiongozi unadidhalilisha,
inamaa nimechangia kuiweka hilitaifa lilipo.
 
Cheki navyong'aa cheki navyowaka
Wote wananideku upo hapo kaka?

ukiniita kiongozi unadidhalilisha,
inamaa nimechangia kuiweka hilitaifa lilipo.
Acha maofutopiki turudi kwa yetu mada,
Kati ya watu wote wakaka na kina dada,
Mapointi nayoyamwaga kwa kila zote mada,
Huoni ninavofaa kupata yako kura?
 
Hehehe! Kwaresma hii, gesti milango haifunguki.

Pasaka inakaribia, misiba ya mbuzi iko usoni (sore ofu topiki)

Hii style uliyoingia nayo, imenifanya nihisi kama umetoka Mkuruanga kule!

Utabiri wa hali ye hewa unaonyesha mbuzi wote sasa hivi wana wasi wasi manake shughuli imekaribia!
 
Hii style uliyoingia nayo, imenifanya nihisi kama umetoka Mkuruanga kule!

Utabiri wa hali ye hewa unaonyesha mbuzi wote sasa hivi wana wasi wasi manake shughuli imekaribia!
Ukipata nauli hommie, kuna mbuzi wa shughuli kashaingia mitaa ya tegeta.
 
Ukipata nauli hommie, kuna mbuzi wa shughuli kashaingia mitaa ya tegeta.
siku hizi mialiko inatolewa KINAMNA NAMNA:D:D:D.bahati mbaya kwako kwamba ninapajua mahala...!kibaya zaidi ni kwamba ''katibu mkuu'' ananifahamu.nitakuja bila kupiga simu

halafu kuhusu hili:
It is not the lack of love but the lack of friendship that ends marriage.
....this is to inform you kwamba I HAVE NOTED IT WITH MANY SENKSI!karibu valuu kwa maandazi hapa ofisini
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom