Una swali kuhusu uchawi na uganga? Uliza ujibiwe

Status
Not open for further replies.
Hivi mtu anaweza kumroga mtu kupitia sauti za kwenye simu

Kwa maana kwamba mtu anaweza kupokea tuu simu ya mchawi huyo na kupata madhara,
Kuna mtu huwa tunamhisi mchawi mpaka simu zake hatupokei
Hili linafanyika japo siyo sana siku hizi, nyakati zilizopita lilishamiri sana jambo hili na wengi walipoteza maisha au kupata maradhi ya ghafla mara tu baada ya kupokea simu na kusikia mtu akiongea maneno yasiyoeleweka.....nilipokea wagonjwa wengi pia wahanga wa jambo hilo.
 
Mtu mzito hivi marashi ya rose kichupa kidogo wanapochanganya kwenye maji ya kuoga hii inasaidia kwa binadamu? Mvuto? Au kuna dawa nyingine zinachanganywa kwenye maji?

Usishangae nayajuwaje haya nashuhudia yakifanyika.

Nina rafiki yangu naye ni shughuli zake hizi huwa nikienda kijijini kuna vitu huwa Ananiomba nimpelekee kwa kazi zake.
Yanasaidia haswa kwenye shughuli za kuosha mwili na ni bora zaidi yanapochanganywa na madawa mengine maalum.
 
Hili linafanyika japo siyo sana siku hizi, nyakati zilizopita lilishamiri sana jambo hili na wengi walipoteza maisha au kupata maradhi ya ghafla mara tu baada ya kupokea simu na kusikia mtu akiongea maneno yasiyoeleweka.....nilipokea wagonjwa wengi pia wahanga wa jambo hilo.

Je kama mtu ana kinga ya kawaida pia anaathirika na uchawi huo wa simu?
 
Mm nlishamaliza kusoma ila huwa ninaota sana nipo shuleni, nlianza kuota niko primary tunafanya mitihani mm sikua nimesoma hesabu nkawa nababaika kufundishwa ili nkafanye mtihani, siku nyingine nkaota nipo sekondary tena na juzi nimeota niko chuo je hizi ndoto zna maana yoyote? Natanguliza shukrani
Ni maandalizi ya kitu flan kwenye Maisha ikiwa unaamini MUNGU kama unaipenda kaitolee Sadaka hiyo ndoto pia uwe unaiombea itimie
 
1477226603841.jpg
Mkuu madawa mengi ya kisasa yanazalisha matatizo mengine kwa siku za usoni ili uendelee kuwa tegemezi na ni miradi ya watu, vipi katika tiba mbadala?
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom