Katika vitu vinavyotesa watu duniani ni majini na hili si masihara, unaweza kwenda hospital ukakuta karibu nusu ya wagonjwa wanateswa na majini na hii ndiyo sababu ya ndugu zetu wengi viongozi wa kidini kupambana na hili katika dua ama maombi.Mtu mzito kuna waganga wanawatoa watu majini au wenyewe wanaita dudu na wanadai wanaua katika ulimwengu Wa roho swali linakuja ni wanauajeuaje kimazingala hao majini kolofi
Jini akiwa mbaya siku zote anataka kutimiza adhma yake aliyotumwa na ili alifanikishe hili, kuna muda hujifanya ni mwema ili asipigwe vita aendelee kutesa mtu, kwa bahati mbaya wengine huzidi kuwapa vitu mfano pete, shuka, mavazi nk bila kujua kuwa wanatawalisha nyoka.Na jini mbaya anaweza kuongopa yeye mzuri katika kiti bira kugundulika mbaya kwa kiti?
Asante kwa Jibu...vp hamnaga viashiria hata kama mtu kafungwa asijue?Naam inawezekana na hili ni wengi linawakuta na sababu haswa ni kwa kuwa wanafungwa wasigundue chochote.
Mtu mzito unapatikana wap ofic yako juu ya hio kaz yako0762 77 27 06.
Pete zipo za aina nyingi sana na hizi ni baadhi; pete za bahati (Immo ring), pete za kinga, pete za umaarufu, pete za ukubwa, pete za majini nk.Hivi Mtumzito kuna aina ngapi za Pete? Maana naskia kuna Pete za nyota, Pete za majini na Pete za kimalaika je hili limekaaje?
Wewe unazo hizo Pete ofisini kwako endapo mtu atahitaji?
Ni ajali kama ajali nyingine japo hii ilichochewa zaidi na mazindiko au nguvu kubwa kutokea ardhini hali iliyopelekea kuyumba na kuanguka.View attachment 421428Ajali ya anga.....Mtu mzito unalizungumziaje tukio hili.
Na unawezaje kujua hela ya bukula, maana wananitesa sana kene biashara yanguZipo namna mbali mbali za madawa ya kiganga.
Huru kivipi mkuu?Mtu akishafungwa hawezi kuona viashiria vyovyote, na mwenye kuona viashiria basi huyu tayari akili ipo huru.