Bishanga
JF-Expert Member
- Jun 29, 2008
- 15,323
- 10,063
niPM,ukitaja jina lako halisi,jinsia,wajihi,elimu,your sexual preferences,fantasy zako,marriage status,akaunti namba yako,namba yako ya simu,jina la sheha wako,kinywaji ukipendacho na ueleze kama uko tayari kujitoa u memba wa jf na kwa kufanya hivo unataka nikupe sh ngapi.Mwisho wa kutuma maombi ni saa kumi juu ya alama tarehe 05/12/2011.Malipo yatakuwa ni kwa dola tu.