una shida ya hela weye?

Bishanga

JF-Expert Member
Jun 29, 2008
15,323
10,050
niPM,ukitaja jina lako halisi,jinsia,wajihi,elimu,your sexual preferences,fantasy zako,marriage status,akaunti namba yako,namba yako ya simu,jina la sheha wako,kinywaji ukipendacho na ueleze kama uko tayari kujitoa u memba wa jf na kwa kufanya hivo unataka nikupe sh ngapi.Mwisho wa kutuma maombi ni saa kumi juu ya alama tarehe 05/12/2011.Malipo yatakuwa ni kwa dola tu.
 
Masharti magumu aiseee

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Bishanga subiri nikamwambie yule mdada mwenye lile tatizo aje akufate umtatulie lile tatizo
ila wasiwasi wangu sexual preference mhhh
atajitoaje jf?hata sielewi
 
Last edited by a moderator:
Mwisho wa kupokea maombi ni mwezi December 2011? mwaka jana? Orait waambie wakupe na PIN namba zao za ATM baada ya kukupa a/c number. Wewe bwenga mkare!!!
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom