una maoni gani hapa juu ya marando na vita dhidi ya ufisadi na kecheko cha mteja wake kushinda kesi?

Lokissa

JF-Expert Member
Nov 20, 2010
7,446
2,490
540396_338608456225104_514908236_n.jpg
 
vita dhidi ya ufisadi isitumike kuonea watu, chuki za walioko madarakani zinaumbua wenyewe-Marando ni jembe na ana haki ya kutoa kicheko kwa kuwezesha ukweli kutamalaki!
 
Vita dhidi ya ufisadi? Hivi kuna ufisadi mbaya zaidi ya unaofanywa na serikali ya CCM na viongozi wake?
 
fidia lazima ilipwe si waimsumbua wenyewe?
yawezekana alieshtakiwa sio proper party to the suit.
wameshinda wenyewe hao hao walishtaki kama kiini macho afu watalipana fidia wenyewe na kuzifaidi, tunachezewa gere hapa.
 
yuko kazini, mnata watoto wake wale nini kama sio kutetea mijitu mihalifu ili ishinde kesi
 
Kuna sababu gani kumtetea mtu anashtakiwa kwa ufisadi, af aliwahi kufanya tena Iringa
 
Back
Top Bottom