Nchi mbili zikipigana vita na mmoja akashinda, aliyeshinda ana haki gani na wajibu gani? Aliyeshindwa ana haki zozote na wajibu wowote?

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Jan 31, 2021
7,242
12,759
Kama vita ya pili ya dunia. Ujerumani na washirika wake walishindwa na majeshi ya muungano. Aliyeshinda vita kwa mujibu wa sheria za kimataifa ana haki gani na wajibu gani juu ya aliyemshinda? Aliyeshindwa naye ana haki na wajibu gani?
 
Yaan inategemea vita ilianza sababu ya mzozo upi. Ina maana mwenye ameshinda hiyo vita ndio ameshinda huo mzozo. Kama ni mzozo wa mipaka, madaraka (utawala), siasa, etc.
 
Kama vita ya pili ya dunia. Ujerumani na washirika wake walishindwa na majeshi ya muungano. Aliyeshinda vita kwa mujibu wa sheria za kimataifa ana haki gani na wajibu gani juu ya aliyemshinda? Aliyeshindwa naye ana haki na wajibu gani?
Wewe jamaa vipi? Chanzo cha ugomvi ni nini? Ukigombana na mtu ukamshinda inamaana unachukua kile mlichokuwa mnagombania! Kama mnagombania ardhi, unachukua ardhi! Kama mlikuwa mnagombania madaraka (siasa) unachukua madaraka! Kama ulikuwa unagombania papuchi na mpenzi/mke alipokuwa anakubania, ukimshinda unamwinamisha au unapanua mapaja na kuanza kuichakata papuchi mpaka baaasii! Ujerumani iliposhindwa vita ilipokonywa makoroni yake yote na kutungiwa sheria za kuisambaratisha! Wakaigawa katikati ambapo magharibi ikatawaliwa na Ulaya na Marekani na Mashariki ikatawaliwa na Urusi na nchi za kijamaa!
 
Safi. Lakini kuna sheria, yapi mshindi hatakiwi kufanya na yapi ni haki yake kufanya?
 
Back
Top Bottom