Una habari...

B'REAL

JF-Expert Member
Oct 20, 2010
4,279
2,733
unahabari,kwamba majina yana endana na tabia,skull walinitungia jina la osama kabla hata september 11,asee niklikuwa na matukio,mara kijijini warombo wameniwekea most wanted nisikanyage,skull natafutwa na walimu kwa utoro darasani,mgovi mimi kila siku kesi kwa walimu,mara nimemkata mtu na viwembe mara nimemwagia mtu uji wa moto ase mbaya zaidi kwenye mechi za shule mi ndo nilikuwa na azisha ugovi na shule nyingine,nilipo fukuzwa shule kama sita,kabla ya form four kuambiwa nije siku mbili kabla ya mtiani wa taifa.nilipo ingia advance nika badilisha tabia kwa upole wangu na life style kuazia mavazi watu wakaniita raster basi jina lilipo kolea ndo ikawa shida,yani ni mtu wa amani mda wote mpaka leo ni raster wa ukweli...
 
siku zote sali na kuwashukuru wazazi kwa kukuvumilia,unafukuzwa shule hii wanakupeleka shule hii.
Na hao uliowakata viwembe/mwagia uji wa moto vioi walipata vilema vya maisha? Huwa mnaonana?
 
Back
Top Bottom