Una fanyaje?

Kuna mapanga yanauzwa pale ubungo, yanauwezo mkubwa kiasi cha kuweza kutumika kukata kucha. Kanunue halafu nitakushauri cha kufanya!

Dah,we mkali elia!
Kwa kabira letu bira kua na panga basi wewe sio mwanaume,..
ninalo tayari,tatizo halija tumika kwa lolote mda mrefu kweli!
So,nifanyeje?
 
Kaka kuiona mpaka imefikia hivyo bac ujue chezo walikuwa wakilifanya tangu long time,kwani huyo jamaa unamfaham na kama ndio kwa nn usimtolee uvivu?unabaki kutia huruma na mawazo tele au hata ngumi hujui?kutumia panga je?napo huwezi?jikaze kiume heshima irudi.

Ni rahisi sana,tatizo ni kwamba naweza ishia gerezani nikifanya hivo na
itakua haija saidia kitu sasa!
 
Una fanyaje pale mtu anapo tangaza ndoa kua anataka kumuoa mke wako
Na wewe bado upo hai na unaishi nae ,
tena mna pendana kweli!

Naomba ushuri ili nijue cha kufanya!
Bad thing ni kwamba wote,mke wangu na huyo mwizi ni wana JF!

kama mkeo anakupenda hutakiwi kuhofu, ila huyo jamaa atakuwa na kichaa.
Ila kama mkeo kabadilika, jua hiyo imekula kwako
 
kama mkeo anakupenda hutakiwi kuhofu, ila huyo jamaa atakuwa na kichaa.
Ila kama mkeo kabadilika, jua hiyo imekula kwako

yeah,ananipenda sana
ila nataka kujua kwa huyu jamaa kutangaza ndoa
bila aibu nimchukulie hatua gani kama adhabu kwake
maana ali mdhalilisha sana mke wangu,tena mbaya zaidi alitangaza ndoa JF
 
Una fanyaje pale mtu anapo tangaza ndoa kua anataka kumuoa mke wako
Na wewe bado upo hai na unaishi nae ,
tena mna pendana kweli!

Naomba ushuri ili nijue cha kufanya!
Bad thing ni kwamba wote,mke wangu na huyo mwizi ni wana JF!
Haaaaa ina maana umeiba ID ukajua mkeo yupo humu? Mambo ya humu usitilie manaani ki hivo inaweza kuwa ameamua kujifanya single ndio maana kapata tongozo
 
i think ni mojawapo ya tactics,mvurugane yeye achukue mkeo,dont give in mwaya...muignore tu
 
i think ni mojawapo ya tactics,mvurugane yeye achukue mkeo,dont give in mwaya...muignore tu

Hiyo point kweli,so far mke wangu tu ndo kesha changia kwenye thread hii,
jamaa naona anapita tu na kukimbia
 
Kha hivi ni kweli au?

hahaha,gaga unaona kama utani vile eti?
wapo wote humu,...i hope one day watasema kitu,...mshikaji haja changia kwenye thread hadi sana,ila mke kachangia
but kwa utani kama siku zote
 
hahaha,gaga unaona kama utani vile eti?
wapo wote humu,...i hope one day watasema kitu,...mshikaji haja changia kwenye thread hadi sana,ila mke kachangia
but kwa utani kama siku zote
Pole sasa umechukua hatua gani kwa wagoni wako?
 
Una fanyaje pale mtu anapo tangaza ndoa kua anataka kumuoa mke wako
Na wewe bado upo hai na unaishi nae ,
tena mna pendana kweli!

Naomba ushuri ili nijue cha kufanya!
Bad thing ni kwamba wote,mke wangu na huyo mwizi ni wana JF!

Tumia ile dawa ya kum-track utajua tu ukweli au unaogopa kuumia ukiujua ukweli?
 
Ndoa ni zaidi ya uchumba, unapoamua kutangaza ndoa kuna kitu kimoja ambacho wewe na mchumba wako mmeelewana. na kama huyo jamaa anatangaza tu mitaani bila ridhaa ya muolewaje unahaki ya kumshtaki maana huo ni udhalilishaji wa kijinsia.
 
safi sana,kwa mara ya kwanza nimepata wazo la kuanzia!
nahisi hili ndolo zuri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom