Una fanyaje?

mkuu naomba utumie kale kasoftware unako kadevelop alafu uje utujuze

usijali mkuu,so far iko tayari ila nime shauliwa kufuata legal procedures ndo tuanze kuitoa,..
kesho ni juma3 na tutaanza kazi hiyo
 
Tumia ile dawa ya kum-track utajua tu ukweli au unaogopa kuumia ukiujua ukweli?

wala hana lolote,sijaona chochote cha kumtia hatiani kwa njia ya simu,
ile tu kutangaza eti anataka kumuoa mke wangu ndo kosa!
 
Una fanyaje pale mtu anapo tangaza ndoa kua anataka kumuoa mke wako
Na wewe bado upo hai na unaishi nae ,
tena mna pendana kweli!

Naomba ushuri ili nijue cha kufanya!
Bad thing ni kwamba wote,mke wangu na huyo mwizi ni wana JF!
a ha
Ha ha ha ha
You made my Day Kaka...
Tigo ni wezi sanaaaaaa
 
Una fanyaje pale mtu anapo tangaza ndoa kua anataka kumuoa mke wako
Na wewe bado upo hai na unaishi nae ,
tena mna pendana kweli!

Naomba ushuri ili nijue cha kufanya!
Bad thing ni kwamba wote,mke wangu na huyo mwizi ni wana JF!
Mnapendana au wewe ndiye unayempenda? Huyo mposaji kaja mwenyewe au kamtuma mshenga? Nafikiri hiyo kitu haiwezi kutokea
 
Una fanyaje pale mtu anapo tangaza ndoa kua anataka kumuoa mke wako
Na wewe bado upo hai na unaishi nae ,
tena mna pendana kweli!

Naomba ushuri ili nijue cha kufanya!
Bad thing ni kwamba wote,mke wangu na huyo mwizi ni wana JF!
hebu vua headphones tuelewane vizuri,halafu si ulidai una utaalamu wa kusikiliza simu na kusoma sms za mwenza wako ? mbona huitumii mwenyewe kujua ukweli hapa ?
 
weeee,bila mziki kazi haiendi kabisa,much less maongezi
utaalamu umetumika sana tu,ila jamaa hana lolote zaidi ya kumdhalilisha mke wangu
kwenye jamii,nimfanyeje?
 
Una fanyaje pale mtu anapo tangaza ndoa kua anataka kumuoa mke wako
Na wewe bado upo hai na unaishi nae ,
tena mna pendana kweli!

Naomba ushuri ili nijue cha kufanya!
Bad thing ni kwamba wote,mke wangu na huyo mwizi ni wana JF!

naona unatapatapa tapa siku hizi,wewe huna mwanamke na wala hujaoa
 
weeee,bila mziki kazi haiendi kabisa,much less maongezi
utaalamu umetumika sana tu,ila jamaa hana lolote zaidi ya kumdhalilisha mke wangu
kwenye jamii,nimfanyeje?

kesi ya ngedere kula mahindi unampa nyani awe hakimu? imekula kwako bro
 
Nani nyani,nani ngedere?
kuna mtu una mtukana humu Ivuga
naona unatapatapa tapa siku hizi,wewe huna mwanamke na wala hujaoa

Duh,ntaanza kupiga kelele za mwizi sasa hivi,...
jamani huyu ndo mwizi mwenyewe,....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom