hometown
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 939
- 1,299
Mi nakuunga mkono upo vizuriNi Subsaharan.
Raptha ni City iliyokuwa na connection na Greeco-Roman na ipo kwenye Roman Map ya Ptolemy. Ni mji kabla ya Arabs. Na ushahidi kuwa Eastern Africa ilikwepo na power kubwa kabla ya kuja kwa Arabs na ndio utetezi wa kupinga Kuwa Azani was developed by Arabs.
Naweka sources kwa sababu nina imani ninajadiliana na mtu mwenye hekima.