Umuhimu wa chakula katika mapenzi/mahusiano

Ruta basi nakuandalia matoke ya kuchanganywa na utumbo wa ng'ombe...
ni mchemsho wenye end result ya matoke, nyama, hoho, carrots, vitunguu,
garlic kwa mbali, pili pili kwa mbali, cabbage teta ilomenyuliwa (sio kukatwa...)
tangawizi kwa mbali... ikiandaliwa na limao kwa pembeni... naona itakua bora
kinywaji kiwe chai ya maziwa fresh kabisa ilotiwa iriki, abdalasin, na karafuu...

Lol Ashadiii...mi mjukuu mwenzio...lini unanikaribisha nionje walau pishi mojawapo ya mengi uliyoyataja...(lakini if I am to choose, ningependelea hili!)
 
Hahahahahahahaaaaaaaaaa............. hahahahahaha....... hehehehehehehee....... khaaaaa

Hahahahahaha.......... hahahahahahha........... heheheheheheheh

Nimecheka mpaka basiiii

Thanks Asha, you have just made my day.......... hahahahahahah......... ngoja nikachekee nje kule LOLZ

Naona nimemuacha Babu speachless.... lol... au na wewe id mbili ulichanganya mambo???
mark my words.... your own words babu....lol

Thats my girl! Babu loves you.

Mjukuu loves you too babu...

He! Ushageuka mara? Am outta here!

Bora umekimbia mana huna la kujitetea....lolest!!
 
Lol Ashadiii...mi mjukuu mwenzio...lini unanikaribisha nionje walau pishi mojawapo ya mengi uliyoyataja...(lakini if I am to choose, ningependelea hili!)

Choose hapa hapa ili niandae then ukilipenda waweza kuja...lol
 
huhuuuuuuuuuuu.. naenda kununua shati la sikukuu sasa hivi

huhuhuuuuuuuuuuuuuuu

ha ha ha..... MTM....

You want to impress her wear something inaonekana ya zamani
akiona tu jipya ataona you have an agenda ya kum impress kwa
nguvu... and you have experienced her clutches i believe....lol
 
Naona nimemuacha Babu speachless.... lol... au na wewe id mbili ulichanganya mambo???
mark my words.... your own words babu....lol
Mjukuu loves you too babu...!

Sijawahi ona mjukuu anamchungulia babu yake namna hii.......... khaa!.......Ningekuwa sijavaa msuli si ungepata laana?

Hiyo red: Umesamehewa dhambi zako zote ulizotenda juzi, jana na kesho........Enenda kwa amani, usitende tena dhambi!
 
Babu hii post umetoa nasikitika hamna kitufe cha THANKS.... Dah! asante saaaana.... alafu babu hujajibu pm yangu...lol
 
Babu hii post umetoa nasikitika hamna kitufe cha THANKS.... Dah! asante saaaana.... alafu babu hujajibu pm yangu...lol
Hahahaha... hiyo PM kama umeituma kwa Pick Up ujue imenasa Magomeni Mapipa kuna foleni ya kufa mtu....... afu umeme umekatika traffic lights hazifanyi kazi mpaka JK atoke Eapoti.
 
ha ha ha..... MTM....

You want to impress her wear something inaonekana ya zamani
akiona tu jipya ataona you have an agenda ya kum impress kwa
nguvu... and you have experienced her clutches i believe....lol
i will tell her thati bought the shirt to impress
 
ndizi wangu..ndizi...i love fish too! I know u kan make a special mix vipendeze...
lini!?? kant wait...
Babuuuuuu acje, mroho huyo!lol

Sababu you love fish... nakuandalia ndizi mzuzu hupatika saana mbeya...
na slice kila mzuzu in three thin pieces kufuata urefu, natia chumvi kidogo,
iriki, kitungu maji kilicho sagwa na cooking oil kwa mbali - 30 mins zimeiva...
huu mzuzu ni optional kama mpenzi wa nazi natia na nazi and sukari kwa mbali...

Samaki nachukua Fresh na kum-weka for an 45mins baada ya kupaka kitunguu maji,
garlic, chumvi, pili pili kidogo then hapo nampaka unga wa ngano ulochanganywa
vizuri saana to a smooth layer na binzari, smashed garlic, pepper na mayai
then nam kaanga... nitakuwekea na mchicha ulochemshwa tu kwa kitungu na mafuta
bila kusaga chai ya maziwa nzito ya tangawazi....

na mayai
 
got it!!

will do my best to make her want me more

Please do... sasa SECOND stage pretend you have forgotten about
the proposal and that you just want to be friends... yaani no longer interested...lol
 
Please do... sasa SECOND stage pretend you have forgotten about
the proposal and that you just want to be friends... yaani no longer interested...lol
........... i cant, she is on my mind!! even my last born knows it
 
Back
Top Bottom