Umri wa wabunge wa Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - 2015

ayaaaaa kapigiwa pande...

ndo mana nilikuwa najiuliza kaonekanaje huyu binti mpaka kufika pale? kumbe ni kwa jisani ya mshua
 
Lete picha yake

Lete picha yake
halima%2B1.jpeg
halima%2B2.jpg
 
Bi Halima Abdallah Bulembo, 24, anayetoka Kagera ndiye mbunge mwanamke mwenye umri mdogo zaidi katika bunge la kumi na moja la Tanzania. Alizungumza na mwandishi wa BBC Kulthum Maabad kuhusu maisha yake katika siasa.

Je ana unasaba wa aina yeyote na Abdallah Majura Bulembo, M/Kiti wa Wazazi wa CCM Taifa?!
 
Hii nchi kila kitu fake fake eti Ndugai ana miaka 31.Magufuli pitia huku kuna harufu ya ufisadi
 
Sijui mleta mada amekula maharage ya wapi, yaani Saeed Kubenea na akina Ndugai wana miaka 31
 
Back
Top Bottom