Lete picha yake
Lete picha yake
Ahsante nipe na namba yake
Bi Halima Abdallah Bulembo, 24, anayetoka Kagera ndiye mbunge mwanamke mwenye umri mdogo zaidi katika bunge la kumi na moja la Tanzania. Alizungumza na mwandishi wa BBC Kulthum Maabad kuhusu maisha yake katika siasa.
Je ana unasaba wa aina yeyote na Abdallah Majura Bulembo, M/Kiti wa Wazazi wa CCM Taifa?!
Sijui mleta mada amekula maharage ya wapi, yaani Saeed Kubenea na akina Ndugai wana miaka 31
Tuache utani bana ngugai ana miaka 31....??????basi bobani ana 21