Umri wa wabunge wa Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - 2015

Wabunge wengi ni wazee sijui wanang'ang'ania nini!
Ndio maana hatuendelei,mtu ana miaka 65_72 uchapakazi wake hauwezi kuwa sawa na akina Mnyika,Mdee,Nassary n.k
Kwanza mwili tu unakuwa umeshachoka.
PS.....hii ni kwa ubunge,halihusiani na urais.
 
Ndugai Job Yustino kazaliwa 21/1/1960.
Kamala Diodorus Buberwa kazaliwa 2/111968. Hizo taarifa ulizotupa haziko sahihi, ni wengi tu ambao umeonyesha miaka si yao.
 
Yaani Deodorus Kamala, Venance Mwamoto, Job Ndugai, Saed Kubenea, Lameck Airo na Janeth Mbene wote wana miaka 31 kila mmoja??
 
Yaani Deodorus Kamala, Venance Mwamoto, Job Ndugai, Saed Kubenea, Lameck Airo na Janeth Mbene wote wana miaka 31 kila mmoja??

Hii list kuna umri umekosewa hasa hapo kwenye miaka 31
 
- Mheshimiwa Mbunge Mzee kuliko wote ana miaka 72..
Ni George Malima Lubeleje mbunge wa Mpwapwa ,mzee huyu mda wote anasinzia sijui atafanyaje kazi ya ubunge,halafu afya yake imedhoofu sana,wanachi wamemchagua kisa alikuwa anawapa miwa,mahindi ya kuchoma maji poa . Mbunge Greigory Teu waliyemwangusha wapiga kura walimchukia alikuwa hawapi hivyo vitu
 
Huyu mbunge wa mkalama alikuwa bosi wangu kwa miaka zaidi ya kumi leo anamiaka 31 na mimi nimeshazidi Uho umri kama ni takwimu za ofisi ya bunge basi ni hatari
 
Wabunge wengi ni wazee sijui wanang'ang'ania nini!
Ndio maana hatuendelei,mtu ana miaka 65_72 uchapakazi wake hauwezi kuwa sawa na akina Mnyika,Mdee,Nassary n.k
Kwanza mwili tu unakuwa umeshachoka.
PS.....hii ni kwa ubunge,halihusiani na urais.

Lowasa anamingapi?
 
Huyu mbunge wa mkalama alikuwa bosi wangu kwa miaka zaidi ya kumi leo anamiaka 31 na mimi nimeshazidi Uho umri kama ni takwimu za ofisi ya bunge basi ni hatari

Hii miaka 31 mbona wabunge wengi? nadhani wapimwe dna kupata umri halisi wa wabunge.
 
Kuna baadhi ya taarifa sio za kweli. Mfano Martin wa Nsuha wa mbinga vijijini

Taarifa nyingi sio sahihi kabisa! hawa wabunge umesema wana miaka 31!!!! kweli!!!!? Job ndungai, Janet Mbene, kubenea, Kamala na wengine wengi! fanya utafiti wako upya!
 
Back
Top Bottom