Umoja wa mataifa UN, US na EU ndio wavunjifu wa amani duniani

Ndege za kivita za Israel zaipiga Khartoum bila kuchokozwa -Aljazeera

Israel says 79 rockets fired at it from Gaza Thu, Oct 25th, 2012 9:25 am BdST JERUSALEM (Reuters) - Palestinians fired dozens
of rockets into Israel from Gaza on Wednesday
and an Israeli air strike killed a militant, a day
after the Emir of Qatar made a rare visit to the
enclave's Hamas leadership.
 
Hujaelewa vyema na mimi sijakuelewa.
Mvunjifu wa amani hapo atakuwa ni huyo Marekani aliyetoka kwao maelfu ya kilomita na drone zake kuja kuzuia watu wasiomtaka raisi wa Yemen wasiweze kushika ikulu.Kama ni raisi basi alikwisha kufa kiraisi lakini akaendelea kulindwa mpaka akapatikana kibaraka mwengine.
Uislamu wa Hussein Obama ni sawa na wa Kikwete huwa hauna faida na waislamu na hautowafaa hata wao wenyewe.Kwa vile tunazungumzia uvunjifu wa amani hawa ni sawa na maaskofu.

Basi kama huukubali urais wa alhaji kikwete maana yake ni kuwa hujitambui. Huna tofauti na boko haram wanaotaka nigeria yote iongozwe na sharia. Utaishia kufa kibudu na hizi harakati zako
 
Uko sahihi naunga mkono hoja kila penye uislam kwa ujinga wao wanasema hapana amani eti wanahifadhi magaidi sasa wanainyemelea mali kaskazini panga pangua watawapiga kisa uislam laiti mugabe angelikuwa muislam tayari angelishapelekewa ndege zisizo na rubani na kupigwa

Nani kakuambia Mugabe/zimbabwe kuna shida ama kuna vita? Umesikia wapi zimbabwe msikiti umevamiwa na watu wenye silaha ama kanisa limevamiwa na sadaka kuibiwa kama mlivyofanya hapo mbagala? Dont compare zimbabwe na vinchi vyenu vya kiislamu hivyo. Zimbabwe watu wanakula maisha zaidi hata ya bongo. Bbc propaganda ndio zinasababisha watu waone kuwa zimbabwe mambo mabaya
 
Israel says 79 rockets fired at it from Gaza Thu, Oct 25th, 2012 9:25 am BdST JERUSALEM (Reuters) - Palestinians fired dozens
of rockets into Israel from Gaza on Wednesday
and an Israeli air strike killed a militant, a day
after the Emir of Qatar made a rare visit to the
enclave's Hamas leadership.
Hiyo ni Gaza mbona wanapiga Sudan.Si ndio siasa hizo hizo makanisa mchome wenyewe halafu mumkamate sheikh Ponda.
 
Nani kakuambia Mugabe/zimbabwe kuna shida ama kuna vita? Umesikia wapi zimbabwe msikiti umevamiwa na watu wenye silaha ama kanisa limevamiwa na sadaka kuibiwa kama mlivyofanya hapo mbagala? Dont compare zimbabwe na vinchi vyenu vya kiislamu hivyo. Zimbabwe watu wanakula maisha zaidi hata ya bongo. Bbc propaganda ndio zinasababisha watu waone kuwa zimbabwe mambo mabaya
Hapa umekubali kuwa Uiengereza yenye BBC ni moja ya wachochezi na wavunjifu wa amani.Hata amani ikivunjwa Zimbabwe sisi waislamu hatupendi.Sio akina nyinyi ambao mkishindwa kujibu hoja za Muungano za Hassan Nassor Moyo aliyekuwa pamoja na Karume hasira zenu mnahamishia kwa Uamsho.
 
Ningekuwa wewe Ami kwenye kasheshe ya kukojolea Quaran ningeanza na Mtoto wa KiIslamu kumpa BAKORA kwanza na adhabu kali sababu yeye kama MuIslamu anajua umuhimu na Utakatifu wa Quaran na mwisho ningemaliza na kumpa adhabu Mtoto wa Kikristu aliyekojolea Kitabu hicho sababu kubwa nikuwa sidhani kama angeambiwa kula Mavi angekula,kwa kutotumia akili yake ya kuzaliwa ningemuadhibu.

Maaskofu hawana shida na waislamu wala wakristu hawana shida na waislamu kwani kwao ADUI yao mkubwa ni shetani na siyo Binadamu mwenzake.Cha msingi tafuteni ni kwa nini mmedondoka na siyo nimedondokea wapi.Huo ndio ushauri wangu kwako AMI.
 
Hapa umekubali kuwa Uiengereza yenye BBC ni moja ya wachochezi na wavunjifu wa amani.Hata amani ikivunjwa Zimbabwe sisi waislamu hatupendi.Sio akina nyinyi ambao mkishindwa kujibu hoja za Muungano za Hassan Nassor Moyo aliyekuwa pamoja na Karume hasira zenu mnahamishia kwa Uamsho.

Nani kawazuia zanzibar kujitenga? tafuta thread ya mwanakijiji inaeleza jinsi ya kutitenga.. In short bilal, mwinyi, nahodha na wabunge wa visiwani wanaokuja huku Tanganyika hakuna aliyewalazimisha .. waondoke kuonyesha kuwa kweli hawautaki muungano. Sio wanalalama tuu staki nataka.
 
Wapi katika dunia ambapo umoja wa mataifa au mataifa ya Ulaya na Marekani wameingia na pakawa na utulivu.
Angalia Iraq,Pakistan na Libya.Angalia Yemen na Somalia.Angalia Sudan na Syria.Angalia na Myamar.
Hawa ni maadui wa amani na maadui wa waislamu.Kwa sababu penye waislamu amani huvunjwa kwa kuwapiga waislamu.
Sasa wameingia Kongo hawaoni haya kuwaunganisha Uganda na Rwanda eti ndio wanaofadhili waasi Kongo.Kama si uchochezi huo ni nini.
Ustadi wao wa kuvunja amani huwa wanatumia mianya midogo ya mifarakano kuwagonganisha ndugu waliokuwa wakiishi kwa amani.Wakienda Burma ni mabuda na waislamu.Wakija Tanzania ni waislamu na wakristo.Wanatumiwa wakristo kuvunja amani kwa kuwakandamiza waislamu.

Jifuze kufikiri!
 
Hiyo thread wewe mwenyewe hukuielewa ungetueleza inasema nini.
 
Wewe ni fool... kama unafikiri wakristo ndio wamechoma makanisa .. Elim madrasa haijakusaidia
Ikiwa ndio ukomo wa akili yako basi lazima wewe ni wale wanaoamini wana akili kumbe za kupandishwa daraja na NECTA huku kichwani hamna.Ushahidi mwingi umetolewa kuwa US yenyewe na mayahudi ndio waliochoma moto twin towers ili wapate kisingizio cha kwenda Afghanistan.Maaskofu ambao imani yao ni moja na US lazima walifanya hivi ili watume watu wao kupambana na uislamu.
 
Wana JF habari zenu kwa ujumla,
Kwa kuchangia mada iliyopo hapo juu, miningependa kusema yafatayo,inaonekana umoja wa mataifa kwa kiasi kikubwa unatumiwa na mataifa makubwa kufikia malengo yao.

mf muundo wenyewe wa baraza la usalama kuwa mataifa matano ambayo yanakura ya veto hapo usawa hamna,maeneo mengi yenye migogoro hapa duniani ambapo UN imeingia basi imekuwa ni mauji ya kila aina.
 
Pamoja ya kuwasamehe baada ya kuchoma makanisa yetu bado mnahic mnaonewa?? Mu wazima kweli nyie watu?!

Mmewasamehe au mnawaogopa? Hamuwawezi ndio mbaki kukojolea misahafu. Kama unabisha tieni msikiti moto. Hapo ndio mtapewa kubwa kuliko

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk 2
 
Wapi katika dunia ambapo umoja wa mataifa au mataifa ya Ulaya na Marekani wameingia na pakawa na utulivu.
Angalia Iraq,Pakistan na Libya.Angalia Yemen na Somalia.Angalia Sudan na Syria.Angalia na Myamar.
Hawa ni maadui wa amani na maadui wa waislamu.Kwa sababu penye waislamu amani huvunjwa kwa kuwapiga waislamu.
Sasa wameingia Kongo hawaoni haya kuwaunganisha Uganda na Rwanda eti ndio wanaofadhili waasi Kongo.Kama si uchochezi huo ni nini.
Ustadi wao wa kuvunja amani huwa wanatumia mianya midogo ya mifarakano kuwagonganisha ndugu waliokuwa wakiishi kwa amani.Wakienda Burma ni mabuda na waislamu.Wakija Tanzania ni waislamu na wakristo.Wanatumiwa wakristo kuvunja amani kwa kuwakandamiza waislamu.

Jifunze kwanza kuhusu historia na hata jiografia ( mambo ya msingi) kabla ya kujaribu kubwabwaja kuhusu siasa za kimataifa. Unaelewa Umoja wa mataifa kuna waislam ndani yake pia? Hapo kwenye nyekundu, unaweza kufikiria kidogo ni sababu gani waislam waonewe hata pale ambapo wao wamejazana?

Hebu eleza Pakistan imeifanyiia nini Bangladesh.

Mfano Pervez Musharaf rafiki wa Marekani akifanya kitu kwa wapakistani utakuwa na imani gani kwamba ni yeye muamuzi.
Turudi Yemen.Wananchi hawaitaki serikali iliyoasisiwa na Ali Abdullah Saleh rafiki wa Marekani.Sababu gani ya kutumia drone kuua waislamu ikisemwa ni Alqaeda ilimradi tu wasijitawale wenyewe.
Twende Burma.Haijawahi kutokea mabuda wakauwa waislamu 28000 na kuchoma nyumba zao moto hata kama waislamu na mabudha wana tofauti zao.Hili limetokea mara tu viongozi wa Burma walipolegeza kamba kwa shinikizo la muda mrefu wakampa nafasi rafiki kipenzi wa Marekani aitwaye Aung San Suukyi.
Tanzania tuna tofauti zetu.Lakini haijawahi wakristo kupata kiburi cha kuwakandamiza waislamu kuliko kipindi hiki tangu Kikwete awakaribishe Marekani baada ya safari zake nyingi huko.Kwa upande mwengine mbona wakristo hawakuwahi kukojolea msahafu hadharani mpaka pale Kenya iliposema imekamta Kismayuu.
Kwanini Kenya haikuingia Somalia mpaka pale Libya iliposhikwa kwa kuuliwa Ghadafi.Huoni kwamba haya mambo hayaratibiwi hapa kwetu,bali ni kazi ya kutoka huko huko.

Usiwadhalilishe waislam kwa kutoa mifano kama hii maana unataka watu waamini kuwa waislam ni bendera fuata upepo, hawaezi kujiamulia na ni rahisi sana kurubuniwa.Ina maana hawa wote hawaijui dini ya kiislam kama wewe na ndio maana wanadanganywa kama watoto na makafir?

Umefoka sana lakini hujasema kitu cha maana.Akili za kushikiwa ndivyo zilivyo.

Natamani kusema ila naomba ninyamazie hili kwa sasa

Hujaelewa vyema na mimi sijakuelewa.
Mvunjifu wa amani hapo atakuwa ni huyo Marekani aliyetoka kwao maelfu ya kilomita na drone zake kuja kuzuia watu wasiomtaka raisi wa Yemen wasiweze kushika ikulu.Kama ni raisi basi alikwisha kufa kiraisi lakini akaendelea kulindwa mpaka akapatikana kibaraka mwengine.
Uislamu wa Hussein Obama ni sawa na wa Kikwete huwa hauna faida na waislamu na hautowafaa hata wao wenyewe.Kwa vile tunazungumzia uvunjifu wa amani hawa ni sawa na maaskofu.
Hapa nimecheka hadi basi maana fikra zako kuwa mtu akiitwa jina la kiislam basi ni muislam ndio uelewe! Obama kakuambia ana imani kama yako?..Ulitaka kikwete akufanyie nini zaidi kwenye nchi isiyo na dini?
Ndege za kivita za Israel zaipiga Khartoum bila kuchokozwa -Aljazeera
Harusi siyo yako vigelegele vya nini?
Hapa umekubali kuwa Uiengereza yenye BBC ni moja ya wachochezi na wavunjifu wa amani.Hata amani ikivunjwa Zimbabwe sisi waislamu hatupendi.Sio akina nyinyi ambao mkishindwa kujibu hoja za Muungano za Hassan Nassor Moyo aliyekuwa pamoja na Karume hasira zenu mnahamishia kwa Uamsho.
Sasa hapo ndipo penye mzizi wa fitna.Kumbe kelele zooote unalazimisha uamsho.Uamsho huko zanziba kwenye 99% Waislam wanadhibitiwa na serikali..unataka sisi tuseme nini?
Ikiwa ndio ukomo wa akili yako basi lazima wewe ni wale wanaoamini wana akili kumbe za kupandishwa daraja na NECTA huku kichwani hamna.Ushahidi mwingi umetolewa kuwa US yenyewe na mayahudi ndio waliochoma moto twin towers ili wapate kisingizio cha kwenda Afghanistan.Maaskofu ambao imani yao ni moja na US lazima walifanya hivi ili watume watu wao kupambana na uislamu.

Siyo kosa lako maana huwezi kupambanua adui yako ni nani mpaka dakika hii...unachanganya madesa - mara Marekani, Uyahudi, maaskofu! In short adui yako humjui vilivyo.

Unaijuia hadithi ya "THE VILLAGE FOOL".. huyu bana, alikwenda msituni kuwinda..lakini hajui anachowinda.Akawa analenga mishale ovyo ovyo... kisha akaanza kuzunguka msituni kuokota mawindo yake. Akaja mtu mmoja akamuuliza, "ndugu yangu unawinda nini"?..akawa hana jibu kamili lakini kwa kuwa hata na yeye hakujua anachowinda akajibu " nitakuambia..."... akazungukaaa.. akaokota panya..." akakimbia kuonyesha.." nilikua nawinda panya".Akatembea tena akakuta mjusi kafa,,akamuokota na kukimbia kuonyesha " Na huyu pia"...Akazidi kutembea akiokota kila mzoga akidai kawinda yeye!
Jamani...jua toka mwanzo adui yako unayemuwinda ni nani na siyo kulenga lenga mishale ovyo!
 
Jifunze kwanza kuhusu historia na hata jiografia ( mambo ya msingi) kabla ya kujaribu kubwabwaja kuhusu siasa za kimataifa. Unaelewa Umoja wa mataifa kuna waislam ndani yake pia? Hapo kwenye nyekundu, unaweza kufikiria kidogo ni sababu gani waislam waonewe hata pale ambapo wao wamejazana?

Usiwadhalilishe waislam kwa kutoa mifano kama hii maana unataka watu waamini kuwa waislam ni bendera fuata upepo, hawaezi kujiamulia na ni rahisi sana kurubuniwa.Ina maana hawa wote hawaijui dini ya kiislam kama wewe na ndio maana wanadanganywa kama watoto na makafir?

Natamani kusema ila naomba ninyamazie hili kwa sasa

Hapa nimecheka hadi basi maana fikra zako kuwa mtu akiitwa jina la kiislam basi ni muislam ndio uelewe! Obama kakuambia ana imani kama yako?..Ulitaka kikwete akufanyie nini zaidi kwenye nchi isiyo na dini?

Harusi siyo yako vigelegele vya nini?

Sasa hapo ndipo penye mzizi wa fitna.Kumbe kelele zooote unalazimisha uamsho.Uamsho huko zanziba kwenye 99% Waislam wanadhibitiwa na serikali..unataka sisi tuseme nini?

Siyo kosa lako maana huwezi kupambanua adui yako ni nani mpaka dakika hii...unachanganya madesa - mara Marekani, Uyahudi, maaskofu! In short adui yako humjui vilivyo.

Unaijuia hadithi ya "THE VILLAGE FOOL".. huyu bana, alikwenda msituni kuwinda..lakini hajui anachowinda.Akawa analenga mishale ovyo ovyo... kisha akaanza kuzunguka msituni kuokota mawindo yake. Akaja mtu mmoja akamuuliza, "ndugu yangu unawinda nini"?..akawa hana jibu kamili lakini kwa kuwa hata na yeye hakujua anachowinda akajibu " nitakuambia..."... akazungukaaa.. akaokota panya..." akakimbia kuonyesha.." nilikua nawinda panya".Akatembea tena akakuta mjusi kafa,,akamuokota na kukimbia kuonyesha " Na huyu pia"...Akazidi kutembea akiokota kila mzoga akidai kawinda yeye!
Jamani...jua toka mwanzo adui yako unayemuwinda ni nani na siyo kulenga lenga mishale ovyo!
Umeamua kumsaidia black lakini hadithi yako ya panyabuku haijaonesha una msaada kiasi gani kwake kwani hueleweki.
Umenena sijui historia ya mataifa hebu onesha historia sahihi unayoijuwa wewe.
Adui wa waislamu ni wengi kuanzia hao mpaka Kikwete, maaskofu na wewe mwenyewe.Kwanini unapenda atajwe ni mmoja wakati wako wengi kila mmoja kwa daraja yake
 
Harusi siyo yako vigelegele vya nini?
Waswahili vile vile husema pili pili usiyoila inakuwashia nini?.
Ikiwa ni vigelegele au pili pili.Mbona unakereka ikiniwasha mimi tu.Kule Somalia Umoja wa mataifa na US vigelegele vya nini wakati wenyewe walitaka mfumo wa uislamu uwaongoze.Na kule Libya nani alisema anataka demokrasia ya kuuwana kama hii inayoendelea?.Vigelegele hivyo wala huvisikii Tausi.
 
Hivi hicho kitabu kitakatifu sana hakina mafundisho zaidi ya Kuonewa na Wasio Waislamu ndio hasara ya Imani kwa Mungu anayejua Lugha ya Kiarabu tu
 
Ikiwa ndio ukomo wa akili yako basi lazima wewe ni wale wanaoamini wana akili kumbe za kupandishwa daraja na NECTA huku kichwani hamna.Ushahidi mwingi umetolewa kuwa US yenyewe na mayahudi ndio waliochoma moto twin towers ili wapate kisingizio cha kwenda Afghanistan.Maaskofu ambao imani yao ni moja na US lazima walifanya hivi ili watume watu wao kupambana na uislamu.

D: wewe ni kilaza bila shaka.... Unaamini ujinga..ina maana marekani awaue wananchi wake kwa kulipua ndege then wamarekani (wananchi)wasitambue hili? Wewe muislam wa pemba ndio unajua sana kuliko hao watu walioko marekani wenyewe?
Dont fool us haya maneno mnayoambiwaga na maimamu wenu wasioweza kufungua internet usituletee hapa.. yapeleke misikitini huko mkahadithiane na kudanganyana
 
Umeamua kumsaidia black lakini hadithi yako ya panyabuku haijaonesha una msaada kiasi gani kwake kwani hueleweki.
Umenena sijui historia ya mataifa hebu onesha historia sahihi unayoijuwa wewe.
Adui wa waislamu ni wengi kuanzia hao mpaka Kikwete, maaskofu na wewe mwenyewe.Kwanini unapenda atajwe ni mmoja wakati wako wengi kila mmoja kwa daraja yake

Kama Kikwete ni adui wa waislam basi duniani hakuna muislam...kwa nini unamdhalilisha rais na imani yake? Ndio mnavyofundishwa hivi huko madrasa? Kudharau Iman za watu? Na je wale waislam waliomualika kule kwenye msikiti wa Qadafi dodoma na sehem zingine zenye shughuli za waislam nao tuwaone wajingwa according to you? Kwani wamemualika muislam mnafiki si ndio?
Wtf with your head(brain)?!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Ami niombe msamaha kwa kunidhalilisha.. Mimi sio adui wa waislam na uislam.. Islam is the religion of peace..mimi nina uadui na foolish people and brainwashed people like you
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom