dyeanka
Member
- Jun 19, 2016
- 96
- 70
Kupitia taarifa ya habari ya ITV muwakilishi wa Umoja wa Mataifa amempongeza Rais Magufuli kwa kuilinda amani ya Tanzania.
Muwakilishi huyo alikuwa anazungumza na walinda amani huko DRC, ameziasa nchi jirani kuiga namna Tanzania inavyolinda amani yake hasa pale wanapowasha mwenge kuaishiria kumulika Afrika dhidi ya amani. Ameongeza pia Tanzania ni miongoni mwa nchi mbili barani Afrika zenye amani.
Wito wangu kwa watanzania tuilinde amani yetu. Ni ukweli kwamba Dunia inajifunza kwetu kutona na amani tuliyonanyo.