Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 7,149
- 10,854
- Thread starter
- #41
Mimi nilitaka nikuite mbumbumbu lakini naona haitoshi,chagua tusi litakalokufaa mwenewe.Angalia hao hapo chini ni nani wanaokanusha september 11 kufanyika na waislamu.Hao si kwamba ni wamarekani tu bali wataalamu wa mambo ya anga na ujenzi wenye uzoefu wa miaka sio mzungu wa reli kama wewe.Kama Kikwete ni adui wa waislam basi duniani hakuna muislam...kwa nini unamdhalilisha rais na imani yake? Ndio mnavyofundishwa hivi huko madrasa? Kudharau Iman za watu? Na je wale waislam waliomualika kule kwenye msikiti wa Qadafi dodoma na sehem zingine zenye shughuli za waislam nao tuwaone wajingwa according to you? Kwani wamemualika muislam mnafiki si ndio?
Wtf with your head(brain)?!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Ami niombe msamaha kwa kunidhalilisha.. Mimi sio adui wa waislam na uislam.. Islam is the religion of peace..mimi nina uadui na foolish people and brainwashed people like you
Griffin, Professor Emeritus, author of 11 books on 9/11 - including the just published "9/11 Ten Years Later : When State Crimes Against Democracy Succeed." Military and Intelligence Personnel
"I'm astounded that the conspiracy theory advanced by the administration could in fact be true and the evidence does not s
Pilots and Aviation Professionals
Engineers and Architects
University Professors